Mkuu wa Mkoa akielekea kwenye ghala la hifadhi ya Chakula wilayani Nyasa.
Mkuu wa wilaya ya Nyasa Isabela Chilumba akitoa maelezo kwa mkuu wa Mkoa wa ruvuma dr Binilith Satano Mahenge.
katika ziara hiyo pia alibaini kuharibika kwa mahindi tani 90 zenye thamani ya shilingi 45,000.000/= wilaya ya nyasa Mahindi ambayo yalitakiwa kusambazwa kwa watu waliopata maafa ya mafuriko kutokana na kufurika kwa Mto Ruhuhu Disemba mwaka 2015 na kusomba mazao ya wananchi wa wilaya ya Nyasa.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge akikagua miradi ya maji wilaya ya Mbinga,
sekita pekee ya ya utafiti wa kahawa iliyoko wilayani Mbinga ime kuwa kiungo kizuri kwa wakulima wa kahawa kwa kuwapa mbegu mpya
Mtalamu wa Vikonyo vya kahawa akimwelekeza Mkuu wa Mkoa Dr Binilith Satano Mahenge jinsi ya kuzalisha miche ya vikonyo
Hapo mtalamu wa vikonyo akimwonyesha kwa vitendo Mkuu wa Mkoa jinsi ya kuzalisha miche ya kahawaMkuu wa Mkoa akisikiliza maelezo ya watalamu wa kilimo cha kahawa kutoka kulia ni katibu tawala Bendeeko,kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mbinga
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa Tunduru kupokea maelezo ya miradi ya maji Miradi ambayo ili mkera
Wilaya ya Mbinga ime weka kipao mbele Zoezi la Madawati kwa kutengeneza madawati ya chuma ili yadumu muda mrefu
Wananchi wa kigonsera waki mlalamikia Mkuu wa Mkoa kuhusu fedha yao milioni 11 iliyo chukuliwa na Halimashauri ya Mbinga ambayo mkuu wa Mkoa ameamuru irudi mara moja
Katibu tawala wa Mkoa akimtambulisha mkuu wa wilaya ya Mbinga katika uteuzi wa hivi karibuni
Huo ni umati wawananchi wa Kigonsera waki lala mimika kuhusu zahanati ambayo ujenzi wake bado uko kwenye msingi .Mkuu wa Mkoa Dr Binilith Satano Mahenge ameahidi kusimamia ujenzi huo na kuhakikisha wananchi wana pata Zahanati
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge akiongea na wananchi wa kigonsera kuwa taka kushiriki maswala ya maendeleo
Afisa mipango wilaya ya Tunduru Mapunda akijibu swala la ujenzi wa Zahanati na kuahidi kuwa kila kitu kinacho husu kupaua zahanati vyote vimesha andaliwae
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge akiwa katika eneo la uzalishaji umeme chipole Mashine ambazo zina toa Megawati 7 za umeme .umeme ambao ume kuwa ukombozi kwa wana nchi wa Moka wa Ruvuma
Daraja hili ndilo linalo linalo tumika kuvukia wananchi wa chipole, Mkuu wa Mkoa ameagiza wilaya ya Mbinga na wilaya ya Songea kushirikiana kuweza kujenga daraja imara
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge amewaomba wananchi wanao ishi maeneo ya Mradi wa Umeme kuacha kuiba nondo za Daraja yoyote atakaye kamatwa hatua kali zichukuliwe dhidi yake
Ramani ya Mtambo wa Umeme wa Chipole ulio chukua garama zaidi ya fedha za kimarekani Dola 25 elfu
Mkuu wa wilaya ya Songea akivuka daraja katika eneo la Mradi wa Chipole
Nyuma ya Mkuu wa Wilaya ya Songea ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahengeakivuka daraja lililo jengwa kwa mtindo wa Nondo
Mara baaMradi kulinda vyanzo da ya kuvuka katika daraja la Chipole ametoa agizo kwa wananchi walio kuwa karibu na Mradi kulinda vyanzo hivyo
No comments:
Post a Comment