Wanchi wa Mkoa wa Ruvuma wameishukuru serekari kwa
kufanya upanuzi wa Daraja la Matalawe liliopo Manispaa ya Songea linalo tarajia
kugarimu kiasi cha shilingi milioni 126 mpaka kukamilika Daraja hilo ambalo
kila mwaka lilikuwa likisababisha waqtu kupoteza maisha baada ya kutumbukia
katika daraja hilo
Watalamu kutoka kampuni ya
STUMARK Enginerering wakiwa na Mkurugenzi wao Inensent Mwafyenga wamesema kazi
ya ujenzi wa daraja ina hitaji utulivu hivyo wananchi wawe na Imani na Daraja
hilo lita weza kukamilika ndani ya miezi 6 ,alipo tafutwa injia mbawala mbawana
na ingia majuto simu zao hazikuweza kupatikana.
Daraja nyingi zilizoko mkoa
wa Ruvuma zina sababisha ajali kutokana na kuto kuwa na kingo pia kukosekana
kwa vibao vya maelekezo ya kujulisha madereva kuwa mbele kuna daraja au
mteremuko, katika eneno la Buruma wilaya ya Mbinga kuna mremuko mkali ambapo
Zaidi yawatu 18 wameweza kupoteza maisha mbali ya wananchi kuiomba Tanroad
kuweka alama ya kona kali na mtelemuko wenye urefu wa mita 100 mpakja chini
No comments:
Post a Comment