KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, December 6, 2011

GARI KUTOKA RUVUMA LA POTEA NJIA NA KUELEKEA SINGIDA BAADALA YA DAR- ES - SALAAM

ADAMU NINDI SONGEA

Usalama barabani wa mkoa wa Dodoma waokoa msafara wa ujumbe wa kimila kutoka Mkoa wa Ruvuma baada ya kupotea ukielekea Singida badala ya kwenda Dar es es salaam.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Saidi Thabith Mwambungu alitoa kihoja hicho wakati akiongea na wauguzi wa Mmkoa wa Ruvuma aliwataka wauguzi kuwa na kumbukumbu katika utendaji wao wa kazi za kila siku .wasije wakajisahau kama alivyo fanya dereva Adolati Mapunda .

Mkuu wa Mkoa amesema ”Gari kutoka katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa lilikuwa likienda Dar – es – salaam kuungana na Wazee wa Mila kutoka Rukwa ili kusherekea sherehe za kimila .Msafara huo ukiwa na wajumbe 14 ulitoka Songea saa 11 alfajili na kujikuta kilometa 15 inje ya Mkoa wa Dodoma msafara ukuwa ume potea ukielekea Singida Majira ya Saa 7 usiku”

Dereva wa gari hilo Aoroph Mapunda ambaye zaidi ya miaka 9 toka ajiriwe katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ruvuma . ndugu Adoph Mapunda ambaye amesha safari safari kadha kwenda Dar -e s salaam amesema ameshangaa baada ya kufika Msamvu Morogoro kwenye round about kujisitukia akielekea Dodoma ,baada ya kuelekea Dar – es salaa.

Nao wajumbe 14 walio kuwa katika Gari hilo wazee wa Mila wamesema mara baada ya kuingia kwenye gari hilo Saa 11 alufajiri wote kwa pamoja walilala usingizi hadi walipo sikia mabishano kati ya Asikari wa usalama barabarani wa Dodoma wakimwabia Dereva Adoph Mapunda akiambiwa mbona unaelekea Singida na upo Mkoa wa Dodoma ndipo msafara mzima ulipo ishiwa usingizi

Habari kutoka inje ya ofisi ya mkuu wa Mkoa zimesema wazee hawakuridhika na uteuzi wa watu wa kwenda Dar -es - salaam

wakati huo huo kamanda wa POLICE mkoa wa Ruvuma Maiko Kamhanda ameshauri Asikari wa usalama barabarani kuwa kumbusha madereva kuwa wapo wapi ili kupunguza magari yanayo potea yapungue

No comments:

Post a Comment