Afisa Mwandamizi wa Baraza la
Uwezeshaji Wananchi kiuchumi Raymond Justine Ritte akiwa katika Ofisi ya
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga . Wa kwanza kulia ni Oswald Yohana
Karadisi Afisa Mwandamizi Ujengaji uwezo na uendelezaji Biashara kwa wajasiliamali
na aliye katikati ni Dada Sarah Lupembe
Afisa Mwandamizi wa Baraza la
Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi Raymond Justine Ritte akiwa katika Ofisi ya Ushirika Wilaya
ya Mbinga
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
akiwa na Afisa Ushirika Wilaya ya Mbinga akitambulisha ugeni kutoka Baraza la
Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi wakiwa katika Ofisi ya MkurugenziMkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh Kahindi akiwa na Afisa Mwandamizi wa ujengaji uwezona uendelezaji wa biashara kwa wajasilia mali Oswald Yohana Karadisi akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Nyasa
Washiriki wa Semina ya
Ujasiliamali wapatao 100 kutoka kijiji cha mapipili wakisikiliza Mada ya Jinsi ya kufanya Biashara na
Kanuni zake
Washiriki wa Semina ya
Ujasiliamali katika Ukumbi wa Mapipili kata ya Kitumbalomo wilayani mbinga wakisikiliza kwa Makini Mada ya
Ujasiliamali
Washiriki wa Semina ya
Ujasiliamali katika Kijiji cha Mapipili Kata ya Kitumbalomo Wilaya ya Mbinga
Mkoani Ruvuma.
Washiriki wa Semina ya
Ujasiliamali wapatao 100 wakisikiliza Mada ya Jinsi ya kufanya Biashara na
Kanuni zake
Kijiji cha Mpipili Kata ya Kitumbalomo Wilaya ya
Mbinga kilometa 25 kutoka Mbinga Mjini kinavyoonekana kikiwa kimezungukwa na
Milima mikali
Kijiji cha Mpipili Kata ya
Kitumbalomo Wilaya ya Mbinga kilometa 25 kutoka Mbinga Mjini kinavyoonekana
kikiwa kimezungukwa na Milima mikali.
Mwenyekiti wa Kijiji cha
Mpipili Esau Esau akiwa nje ya Ukumbi wa Semina.
No comments:
Post a Comment