GOGO LA MAAJABU AMBALO VIONGOZI MBALIMBALI WALIKAA JUUYA GOGO HILO WALIFANIKIWA KATIKA MAPAMBANO YA VITA VYA UKOMBOZI
Ndugu Msomaji wa Blog ya
Songea Habari.blogspot.com. Napenda kukukaribisha ili uweze kuona Kitu
kinachoitwa Imani kina maana gani.
Jambo la Msingi napenda
kukurudisha katika Mila na Desturi ambazo zilikuwa zikiwafaa Wabantu. Ukumbuke
kuwa Mila na Desturi za wenzetu hawa watu weupe au Wazungu ndio waliotuteka
katika mila zao, huyu tunayemwita Mungu
ambaye yupo katika Biblia na katika Kurani Tukufu .
Lakini hiyo haifanyi kuwa
sisi Wabantu tulikuwa hatuna Mungu wetu. Hebu rudisha Mawazo yako nyuma, Jee hawa
watu weupe tunaowaita Wazungu walikuwa wakijua lugha zetu la,
Sasa hebu uone mimi Mungu
wangu kwa Lugha yangu Mungu nilikuwa namwita Chapanga, wengine Nguluwi,
Mulungu, Mnungu, Mluku . hayo yote ni majina ya kibantu yaliyo kuwa ya kitumika kumwita Mungu hii ni kuthibitisha kuwa Waafrika walikuwa na
Dini zao za Asili.
Kitu ambacho nataka kukuambia.
katika kudai Uhuru Nchi mbalimbali za Africa zilikuwa
na mila ya kutambika ili kupata Mafanikio, katika kuomba Mvua , kushinda Vita
au Jambo lolote ambaloni Gumu.
Sasa hebu tuone Mfano mdogo
katika Nchiya Msumbiji wakati wa Vita vya Frelimo na Wareno, Mkutano wa pili wa
Vita hivyo ulifanyika Macheja mpakani na Tarafa ya Mhukuru Nchini Tanzania ,kitu
cha ajabu wa kuu wote waliokuwa wakipigania Uhuru walikuwa hawa kai kwenye viti
bali wali Tumia Gogo kubwa kukalia wakiwa na imani na gogo hilo kwa kupata
ushindi .
Sasa tuingie Nchini Msumbiji
tuone wenzetu walivyokuwa na Imani na gogo kubwa ambalo linasadikiwa Viongozi
wote wa Afrika wameweza kukaa juu ya gogo hilo
na kila aliyekaa hapo alifanikiwa kupata Ushindi.
Ziangalie kwa makini hizo
picha hizo uone viongozi walivyokuwa wazalendo kwa kuipenda Nchi yao na mila zao.
Mke wa Marehemu Moses Machel wakati wa mapambano wa vita vya msumbiji picha hiyo ili pigwa macheje Nchini MozambikiMarehemu Samora Machel akipanga mashambulizi dhidi ya Wreno Nchini Mozambiq wakati ule
Marehemu Candido Mondlane akiwa uwanja wa mipango ya vita Macheje Nchini Mozambiq
Njia ya mapambano dhidi ya warenoili tegemea zaidi mto Ruvuma kwa uvushaji wa Silaha
viongozi wandamizi wa Mozambiq aliye vaa kofia Samora Machel na wa mwisho ni Rais wa sasa wa msumbiji Armando Emillo Guebuza wakiwa wamekaka katitka Gogo la ukombozi
Marehemu Samora Machel akitoa maagizo kwa ArmandoEmillo Geubuza wakiwa wamekalia gogo la ukombozi
No comments:
Post a Comment