Add caption |
Afisa UhamiajiMkoa wa Ruvuma Koku Lwebandiza
akielezajinsi Idara ya Uhamiaji ilivyo fanikiwakatikanyanda
mbalimbaliikiwemo mawasilianoya uhakika,Gari,Compyuta,Nyumba za wafanyakaziofisi
za kisasa.ushirikianokati ya idara ya uhamiajina wananchi.
Add caption |
Jengo la utawala laUhamiaji ambalo lime jengwa eneola
Mahehenge manspaa ya Songea ilikiwa lina kadidiwa kugharimu zaidiya
shilingimilioni700
Add caption |
Ofisi ya uhamiajililioko mpakani mwa Msumbijina Tanzania
eneola Mkenda tarafa ya Mhukuru wilaya ya Songea Vijijini.
Add caption |
Jopo la Maafisa Uhamiaji wakiwa katika kikao cha kuboresha utendaji wa kazi mpanimwa Msumbiji na Tanzania
Nyumba za watumishiwa idara ya Uhamiaji zilizo jengwa mpani
mwa Msumbijina Tanzania Eneola Mkenda.
Nyumba za watumishiwa idara ya Uhamiaji zilizo jengwa mpani
mwa Msumbijina Tanzania Eneola Mkenda.
Afisa uhamiaji Mkoa wa Ruvuma akiwa na Jopo la
wafanyakazi Wenzie wakitokea nchini Msumbiji katikauimarisha ujirani mwema kati ya Msumbijina Tanzania.
Add caption |
Afisa uhamiaji Mkoa wa Ruvuma akiwa na Jopo la
wafanyakazi wenzie wakitokea nchini Msumbiji katikauimarisha ujirani mwema kati ya
msumbijina Tanzania.
Gari lililotelekezwa na wahamiajiharamu na kushikiliwa na
uhamiajiMkoa wa Ruvuma.
Kudhibiti uhamiaji haramu kunatakiwa ushirikiano na wananchi hebu
ona msitu huu ulivyo kuwa mkubwa ni rahisi wahamiajiharamu kuvuka kama hakuna ushirikiano.
No comments:
Post a Comment