Mkurugenzi wa Pomonda Raha Beach Joseph Ndomondo akitoa akichangia mada ya Mabadiliko ya hali ya hewa katika mdahalo ulio andaliwa na RUNECISO na kufadhiliwa na The Foundation Civil Society ulio fanyika katika kata ya Liuli Wilaya ya Nyasa
Makamu Mwenyekiti wa Halimashauri ya Wilaya ya Mbinga akifungua Mdahalo na Kukemea vikali kuhusu uvuvi samaki katika ziwa Nyasa kutumia sumu, Pia amekemea kujisaidia Vikani na Ziwanina kumtaka kilaMwana kaya kuwa na ChooWashiriki wa Mdahalo wa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa wakiji funza kwa vitendo jinsi ya kutunza mazingira kati mwambao wa ziwa nyasa eneo la liuli
Mwenyeki wa Mtandao Police wanawake akishiriki mdahalo wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa Liuli
Kaimu OCD wa wilaya ya Nyasa wa kwanza kulia akisikiliza kwa makini mdahalo wa Madiliko ya Hali ya Hewa ulio fanyika Liuli
Mwenyekiti wa RUNECISO Michael Mahecha akitoa neno la mbele na kuwa taka wananchi wa Liuli kuacha kuuza eneo la Ufukwe huko ni kuji tia umasikini.
ASS/INSP Fadhila Chacha akito mada kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa kwa kuwa taka Wananchi wa Liuli kuto fanya vitu kwa makusudi huku wakijua wa na Haribu Mazigira na kusababisha Mabadiliko ya hali ya Hewa
Wadau wa Mdahalo wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa wa kisikiliza kwa makini mada Hizo kulia ni Katibu wa Ruvuma Press Mosses Konara
Wadau wa Mdahalo Liuli wa kiratibu maswala mhimu katika mdalo huo, Ikiwemo kuorodhesha wavuvi wote wanao tumia sumu katika uvuvi,Wachomaji Moto ovyo katika Mwambao wa Ziwa Nyasa na kuweka mikakati imara ya kukabiliana na vitendo hivyo
Washiriki wakiwa katika ziwa Nyasa kujifunza Mabadiliko ya Hali ya Hewa ya navyo weza kuchangia uchafuzi wa mazingira |
No comments:
Post a Comment