Watanzania wamekuwa wa kikesha kuangalia Mashindano ya U miss bila kutasithimini hii ni faida kwa wale wanao uza biashara zao zitoke au ni masilahi ya watanzania ? Nauliza swali hilo kwakuona vigezo vilivyo wekwa ni lazima hawa mabinti wavae kaputuar,au nguo fupi, nini kinangaliwa katika nguo hizo, Mbona wakivaa nguo ndefu bado wana pendeza, Naomba tujiulize kwa umakini na siyo kiushabiki .Mara nyingi tuna walaumu dada zetu wanapo badilika baada ya kupata u miss jee hatufahamu chazo chake
PR Promotion at Karibu PR Promotion Blog
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la Nguzo Nane, Kata ya Kambarage
Mjini Shinyanga, Satto Nyangoha amejeruhiwa kwa kuchomwa kisu katika shavu
lake la kushoto baada ya kutoa hukumu ya kesi ya wizi wa baiskeli.
Kitendo hicho kinadaiwa kufanywa na mlalamikaji katika kesi hiyo, Emmanuel
Izengo (28), mkazi wa Tambukareli, Shinyanga baada ya kutokuridhishwa na
hukumu iliyotolewa bila ya mshtakiwa, Daniel Makelezia, mkazi wa Lubaga
Shinyanga na mdhamini wake, Marko Nkelezia kuwepo mahakamani.
Katika hukumu yake, Hakimu Nyangoha alisema mshtakiwa atakapopatikana
atatumikia kifungo
No comments:
Post a Comment