Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akiwa katika Maandamano kwa wahitimi wa Sitashahada na Shahada wa Chuo kikuu cha St Joseph Tanzania katika Tawi la Songea
Wanawake walio hudhulia Maafali ya kuhitimu wanafunzi wa chuo kikuu cha st, Joseph
Rais wa wananzi wa Chuo kikuu cha St. Joseph akipokea zawadi baada ya kufanya vizuri katika uongozi na Masomo |
Rais wa Chuo Kikuu cha
Mtakatifu Joseph chenye Makao yake Makuu Nchini India,
Arul Raj ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuwaunga mkono katika
suala la Elimu pia ametoa shukrani kwa Serikali kuonesha nia ya kutoa Aridhi
kwa ajili ya mafunzo ya kilimo. Ameomba serekari kuunga mkono swala la kilimo
katika chuo cha st joseph tanzania
Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo
la Mbinga John Chrisostom Ndimbo amesema Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph
Tanzania kinapokea Wanafunzi wa Dini zote ili kukuza umoja na Mshikano wa Tanzania.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph Songea wakipokea wageni waalikwa waliokuja kushuhudia Mahafali ya Nne ya Wanafunzi waliohitimu Elimu ya Juu ya Sayansi
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Jumanne Kawambwa akionyeshwa Mahabara ya Chuo Kikuu cha St Joseph ilivyokamilika kwa vifaa
Wanafunzi wa Sekondari ya Ruhuwiko wakiwa katika Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph
Wazazi wakiwa katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph kuwashuhudia watoto wao wakitunukiwa Shahada na Stashahada ya Elimu ya Juu ya Sayansi
Wanafunzi waliohitimu Mafunzo
ya Sayansi wamewaomba wenzao kutoogopa Masomo ya Sayansi pia wameomba Mikopo
inayotolewa kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu itolewe mapema.
Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania toka Mwaka 1961 ilikuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu 13 tu
lakini hadi hivi sasa ina Wanafunzi wa Chuo Kikuu 170,000 na katika mwaka 2005
ilitoa Mikopo kiasi cha Shilingi bilioni 56.1 na mwaka 2012 imetoa mikopo
shilingi bilioni 326 hata hivyo mikopo hiyo ni kwa wanafunzi wa shahada tu nayo
haijawafikia wote.
Hapo ni Fundi Mitambo akihakikisha Matangazo yanakwenda barabara katika Sherehe za Mahafali ya Wahitimu wa Elimu ya Juu ya Sayansi yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph Ruhuwiko Songea
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Jumanne Kawambwa amesema ili kupata
Maendeleo Serikali imeazimia kufundisha Wataalamu mbalimbali wa ngazi ya Uhandisi wapatao 414,000 ifikapo
Mwaka 2015.
Waziri
wa ELimu na Mfunzo ya Ufundi Dr Shukuru Jumanne Kawambwa ameyasema hayo wakati
akiwatunuku Shahada na Stashahada Wanafunzi Wahitimu 97 katika Chuo Kikuu cha
Mtakatifu Josefu Tanzania
Tawi la Songea
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi Dr.Jumanne Shukuru Kawambwa
amesema lengo kuu la Serikali ni kuhakikisha kuwa inawasomesha Wataalamu
mbalimbali ili kuongeza ujuzi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kuinua
uchumi nchini mwetu
Wageni waalikwa kutoka Maeneo mbalimbali wakifuatilia Hotuba ya Mgeni Rasmi katika Mahafali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph Tanzania tawi la Songea.
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakihakikisha wanapata kwa usahihi yaliyojiri katika Mahafali ya Wahitimu wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Joseph tayari kwa kuwafikishia Jamii.
Hapo Waandishi wa Habari kutoka TBC na Star Tv Songea wakichukua Habari katika Mahafali ya kuhitimu Elimu ya Juu (Chuo Kikuu) ya Sayansi |
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi Dr.Jumanne Shukuru Kawambwa
amesema lengo kuu la Serikali ni kuhakikisha kuwa inawasomesha Wataalamu
mbalimbali ili kuongeza ujuzi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kuinua
uchumi nchini mwetu
Wanafunzi wahitimu wa Elimu ya Juu ya Sayansi waliotukiwa shahada na stashahada kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Josefu Ruhuwiko Songea
No comments:
Post a Comment