KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, September 14, 2013

NJIA ZIPI ZITUMIKE KUTOKOMEZA UNYANYASAJI KWA WATOTO NA MAMA HEBU ONA MATUKIO HAYO KUTOKA SONGEA

 Kupanda kwa maisha kunazifanya familia mbalimbali kutoa adhabu kali kwa watoto pale wanapo onekana wamefanya udokozi wa fedha kidogo tu .watoto hao wawili hapo juu walipigwa na baba yao hadi kuvunjika mikono kwa ajili ya kuiba shilingi 1000/= tu
 Watoto hao wawili mtu na mdogo wake wenye umuri wa miaka 10 - 11 wenyji wa Bombambili  Mansipaa ya Songea wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma kupata matibabu baada ya kuvunjwa mikono ,walipo ulizwa wamesema wana jutia kitendo cha udokozi lakini adhabu wanazo pata hazilingani na umri wao
 Mtoto Mwenye umuri wa miaka 9 mkaazi wa Mansipaa ya Songea eneo la Luwiko akiwa amechomwa moto mikono baada ya kupoteza shilingi mia tano ,alichomwa na baba yake na kutibiwa kienyeji zaidi ya wiki mbili akiwa amefungiwa ndani hadi alipo kuja okolewa na Asikari Police Songea
 Mikono ikionysha kupata nafuu baada ya kuchomwa na moto kutumia manyasi ya kuezekea katika eno la mansipaa ya songea Luhuwiko ,Mtandao wa Police Wanawake ndio walio gundua njama hizo za kunyanyasa watoto
 Mama aliye ng'atwa mdomo na sikio na mwanaume aliye taka kutumia nyota zake kwa ajili ya biashara. Mama huyu sikio lime katwa na mdomo wa mbele nao umekatwa .Jee dada zetu wata ishi vipi Matukio hayo yote yame thibitishwa na Kaimu Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma  Chiposi
Nini matatizo ya Dada zetu katika maisha kwa nini wachukue uamuzi waharaka .Dada huyu amewaomba wasichana wazingatie masomo zaidi kwani ukombozi wa Mwanamke ni Elimu kuolewa sasa hivi hakuna mashiko. kinacho takiwa ni baba na mama kuwa na kazi kwa ajili ya kulea familia amshauli binti huyu

No comments:

Post a Comment