Unazo ziona ni Nguzo za Umeme ambazo zimeanza kusafirishwa kwenda vijijini hapo Nguzo hizo zina Teremshwa katika kijiji cha Magagula Songea Vijijini
Vjijana Mkoani Ruvuma ambao wana nufaika na Mradi Usambazaji Nguzo za Umeme Vijijini wakifurahia Ajira Mpya
Wakati mwingine unaweza kutumia akili na kazi ikaenda Vijana hao hapo wametumia njia za asili katika kuteremusha nguzo za umeme baadala ya kutumia Mashine za Umeme angalia huo utaalamu
Wakandalasi kutoka kutoka Sirlanka wakisimamia zoezi la Ushushaji Nguzo za umeme katika kijiji cha Magagula Songea Vijijini
Hali halisi kabula ya Nguzo kuteremushwa kijiji Magagula ,Mradi wa REA[Rural energy agence] Umeme vijijini
Gari likisafirisha nguzo za umeme wa mradi wa Umeme vijijni REA Mradi huu mpaka kukamilika uta weza kugharimu kiasi cha shilingi bilioni 30 kwa frdha za kimarekani ambao uta chukua miaka miwili
Meneja wa Tanesco Francis Maze akifanyamawasiliano kujua Gari la Nguzo liko sehemu gani ,katika kudhibiti wahujumu uchumi .wanao taka kulihujumu shirika la Tanesco
No comments:
Post a Comment