KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, October 29, 2014

WANAFUNZI WAMETAKIWA KUACHANA NA SIASA HAYO YAMEBAINIKA KATIKA MAAFALI YA SONGEA BOYS


Mgeni Rasimi katika Mafali hayo Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi amesema moja ya kero inayo wakabili wana funzi wengi katika shule za secondary ni walimu wa sayansi serekari ina fanya kila wawezalo ili kuhakikisha walimu wa sayansi wanatosheleza.
Mwalimu Mkuu wa Secpndary ya Wavulana Songea  Mr sweke sweke ameya sema hayo katika Maafafali ya kidato cha nne wakati wakuhitimu watoto 72 badalaya ya wanafunzi 85 walio anza ,amesema lengo la wanasiasa ni kutumia daraja la wanafunzi katika kuingia katika madarka ni juu ya wanafunzi kuepuka na maswala ya kisiasa

Wanafunzi wa Shule ya Secondary ya Wavulana Songea  wa kiwakilishwa na mlemavu Ezekia Juma  ambao ni walemavu wa Macho wapatao wameiomba serekari vifaa kwaajili ya walemavu wa macho ikiwemo mashine ya kuandikia vitabu mbalimbali vya nundu  pamoja na kuwaongezea walimu rasimi wawalemavu, Katika hilo Mbunge wajimbo la Songea Emanueli John Nchimbi ameahidi kumusomesha mwalimu mmoja kwa ajili ya Walemavu
                                  Wanafunzi walemavu katika Shule ya Secondary ya Wavulana  Songea

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Secondari ya Wavulana Songea  Sweke Sweke amewataka wanafunzi kuacha kutumia na wana siasa kwani kufanya hivyo ni kujiharibia maisha yao ya baadaye baasda ya kuzingatia masomo watajikuta wakiimba siasa.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea wakifanya Sarakasi wakati wa Maafali

Mgeni Rasimi katika Mafali hayo Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi amesema moja ya kero inayo wakabili wana funzi wengi katika shule za secondary ni walimu wa sayansi serekari ina fanya kila wawezalo ili kuhakikisha walimu wa sayansi wanatosheleza.

Mbunge wa Jimbo la Songea Emanueli John Nchimbi pamoja na kuahidi swala la walimu wa sayansi ameahidi pia kuleta gari kwa ajili ya Shule ya Sekondary ya wavulana Songea kwa haraka ili gali mhilo liweze kusaidia usafiri kwa wagonjwa na shuguli zingine.
 Meya wa Manispaa ya Songea Chares Mhagama akiwa na Mgeni Rasimi Katika Maafali ya Shule ya Sekondary ya Wavulana Songea
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondary ya Wavulana Songea Wakisikiliza Hotuba ya Mgeni Rasimi Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea wakifanya Sarakasi wakati wa Maafali
 Wazazi wakiwa na Watoto wao katika maafali wanafunzi 72 walihitimu Masomo kidato cha Nne
 Wanafunzi wakiwa na Vyeti vya kuhitimu baada ya kupewa na Mgeni Rasimi Dr Emanuel John Nchimbi
Watoto napo Hupenda Kushiliki katika mafanikio ya Kaka zao wanapoi fikia mafanikio ya kumaliza kidato cha Nne

WATOTO WAPATA CHANJO SURUA NA RUBELLA MKOANI RUVUMA

Akina Mama wamekuwa mstari wa Mbele katika kupeleka watoto kupata Chanjo ya RUBELLA na SURUA  hapo wapo Zahanati ya Mjimwema Manspaa ya Songea
Dr Makunja akitoa Maelezo kuhusu Chanjo ya Kitaifa na kuwataka wazazi wasiwe na hofu na chanjo ya Surua na Rubella ambayo inalenga kuchanja watoto 640,156 katika mkoa wa Ruvuma
Mgeni Rasimi Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akijianda Kufungua Chanjo ya Surua na Rubela  kimkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu
Mgeni Rasimi akitoa Hotuba kuhusu chanjo ya Kitaifa na Watu watakao Husika na chanjoambao ni watoto 258,359 chanjo ya vitamini A na Watoto walio chini ya miezi 12 watapata Mebendazole . Aidha tiba ya Matende,Busha ngiri ,usubi na minyoo ya tumbo pia ita tolewa kuaznia umuri wa miaka 5 na kuendelea kwa kutumia Mebendazole na ivemectin ina kadiriwa watu wapatao 1,148,262 wata pata tiba
         Mkurugenzi wa Manspaa ya Songea akiwa Mjimwema Kushuhudia Uzinduzi wa Chanjo kitaifa
                                   Mkuu wa Wilaya ya Songea akimeza kidonge cha kuzuia Surua na  Rubela
                             Mkuu wa Wilaya akizindua Chanjo ya kitaifa hapo akimpa Mtoto chanjo ya Vitamini A
Wazazi wakiwa katika siku ya Chanjo ya Kitaifa wakimwangalia Mkuu wa Wilaya akitoa Chanjo Kwa Mtoto ya Vitamini A

Tuesday, October 21, 2014

ZIARA YA MKUU WA JESHI LA POLICE MKOANI RUVUMA AFANDE ERENESTI MANGU

Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Waahamadiya Mkoa wa Ruvuma Yusufu Kambaulaya akitoa Kurani Tukufu kwa Mkuu wa Jeshi la POLICE Nchini Tanzania IGP Afande Erenest Mangu wakati alipo temelea Mkoa wa Ruvuma
Mkuu wa Jeshi la POLICE Nchini Tanzania Erenest Mangu watatu kutoka kushoto wapili kutoka kulia  ni Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma  Mihayo  Msekhela wakiwa katika jengo la Dawati la Jinsia na watoto
Mkuu wa Jeshi la POLICE Nchini Tanzania IGP Afande Erenesit Mangu akifungua kibao kilicho andikwa waanzilishi wa Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Ruvuma ambalo mpaka sasa lime gharimu shilingi milioni 38
Mwenyekiti Mhamasishaji wa Ujenzi wa Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Adamu Nindi akimfafanulia IGP Majina ya walio shiriki ujenzi wa jengo la Dawati la Jinsia na Watoto
Kamati ya Ujenzi wa Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Ruvuma kutoka kulia ni Mathew Ngalimanayo anaye fuatia Juma Nyumayo katikati Anna Tembo wamwisho kushoto ni Fadhila Chacha walio kaa katikati ni IGP Erenesti Mangu wapili kutoka kulia Kamanda Mihayo Msekhela
IGP Erenesti Mangu akiwa amepiga picha na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Ruvuma kutoka kulia ni Adamu Nindi, Juma Nyumayo ,Cerensesia Kapinga, Andew Chatwanga,Mosses Konara, Joice Joliga, mwisho Mwidini Ndolanga
Wadau wa ujenzi wa Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika picha na IGP Erenest Mangu wakiwa katika jengo la dawati la Jinsia na Watoto
Mchotiraji Mashuhuri wa Majengo Venanti Mponda akipeana Mkono na IGP Erenest Mangu  baada ya kuchora Ramani ya Jengo la Dawa la Jinsia na Watoto la Mkoa wa Ruvuma
Mwenyekiti wa Uhamasishaji wa Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Adamu Nindi akimwelekeza Matumizi ya Jengo hilo IGP Erenesti Mangu
Mwenyekiti wa Uhamasishaji wa Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Adamu Nindi akimwelekeza Matumizi ya Jengo hilo IGP Erenesti Mangu
Mwenyekiti wa Uhamasishaji wa Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Adamu Nindi akimwelekeza Matumizi ya Jengo hilo IGP Erenesti Mangu
Mgeni akifika nilazima umkarimu katika chakula IGP Akiwa ikulu ndogo Ruvuma akipata Chakula kwa heshima ya Wangoni
Shampeni ikinywewa kwa kumtakia Afya Njema IGP Erenesti Mangu akiwa Mkoani Ruvuma
Rozi Mary  akimimina Shampeni tayari kwa kumtakia Afya Njema IGP Erenesti Mangu akiwa Mkoani Ruvuma
Mgeni akifika nilazima umkarimu katika chakula IGP Akiwa ikulu ndogo Ruvuma akipata Chakula kwa heshima ya Wangoni
Mwiizuraeli mwekezaji wa kilimo cha kahawa akisalimiana na IGP Erenesti Mangu katika Aghafula ya Chakula cha Jioni
IGP Erenes Mangu akitoa Shukurani kwa Wanchi wa Mkoa wa Ruvuma kwa Ushirikiano na Jeshi la POLICE
Anna Tembo akipeana Mkono na IGP Baada ya kusoma tarifa ya Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Ruvuma
Kamanda wa POLICE Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela akitoa Utambulisho kwa Wadau walio alikwa katika Chakula Cha Jioni na IGP Erenesti Mangu
Adamu Nindi Mwandishi wa Habari wa Star Tv na Radio Free Africa Akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la POLICE Nchini  igp Erenesti Mangu akiwa Ikulu Ndogo Mkoani Ruvuma
Baadhi ya Wageni alio salimiana nao ni Mdau kutoka China ambaye alitoa Kopo la Maziwa ya Unga kwa IGP
           Mzee komba akitoa kahawa kwa IGP Erenest Mangu ili aone kahawa ya Mbinga ilivyo na Nguvu
           Mkurugenzi wa kiwaqnda cha kahawa cha DAYA Kilichopo Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma
Baadhi ya Wageni alio salimiana nao ni Mdau kutoka China ambaye alitoa Kopo la Maziwa ya Unga kwa IGP Erenest Mangu
Zawadi aliyo pewa mkoani Ruvuma ya Kinyago ikiwa ikuashiria Mshupavu wawatu wa Mkoa wa Ruvuma
Mwiizuraeli mwekezaji wa kilimo cha kahawa akisalimiana na IGP Erenesti Mangu katika Aghafula ya Chakula cha Jioni
                      Wadau wa POLICE Wakiwa Mkoani Ruvuma na Mgeni IGP Erenest Mangu
                              Picha ya Pamoja na IGP Erenest Mangu
                    Wageni waalikwa wakiwa na IGP Erenest Mangu Ikulu Ndogo Ruvuma
             Wageni waalikwa wakiwa na IGP Erenest Mangu Ikulu Ndogo Ruvuma
                           Wageni waalikwa wakiwa na IGP Erenest Mangu Ikulu Ndogo Ruvuma
                   Wageni waalikwa wakiwa na IGP Erenest Mangu Ikulu Ndogo Ruvuma
                          Wageni waalikwa wakiwa na IGP Erenest Mangu Ikulu Ndogo Ruvuma
                         Wageni waalikwa wakiwa na IGP Erenest Mangu Ikulu Ndogo Ruvuma
                       Wageni waalikwa wakiwa na IGP Erenest Mangu Ikulu Ndogo Ruvuma
Bregedia Chacha akimuhakikishia IGP Erenest Mangu hali ya Usalama na Amani iliyopo Mkoani Ruvuma r