Viongozi ngazi za Mkoa wa Ruvuma na wilaya wakiwa katika semina ya kuweza kufanikisha zoezi la kupata vitambulisho Vya Taifa
Viongozi wa Dini Mkoani Ruvuma wakiwa katika semina ya Vitambuliso vya Taifa wakipewa mikakati jinsi ya kuweza kuwahimiza waumini wao kufahamu faida za vitambulisho
Miongoni mwa washiriki wa semina ya vitambulisho vya Taifa ni Akina mama endapo uta waelimisha akina mama unaweza kufiksha ujumbe mbali zaidi
Moja ya Vitambulisho vya taifa ni kama unavyo viona hapo juu
Viongozi wa Serekari waliodhuria Semina ya Vitambulisho vya Taifa Mkoa wa Ruvuma wakipiga picha ya Pamoja naMkurugenzi uzalishaji vitambulisho vya Taifa Paulo Philip Bwathondi wa kwanza kulia
Viongozi wa Dini waliodhuria Semina ya Vitambulisho vya Taifa Mkoa wa Ruvuma wakipiga picha ya Pamoja naMkurugenzi uzalishaji vitambulisho vya Taifa Paulo Philip Bwathondi wa kwanza kulia
Viongozi wa wakurugenzi waliodhuria Semina ya Vitambulisho vya Taifa Mkoa wa Ruvuma wakipiga picha ya Pamoja naMkurugenzi uzalishaji vitambulisho vya Taifa Paulo Philip Bwathondi wa kwanza kulia
mkuu wa wilaya ya Namtumbo Lutavi akiwa na kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela wakijadili kuhusu vitambulisho vya Taifa vitakavyo
Mmoja wa Viongozi wa Dini ni Pamoja na Kiongozi wa Kanisa la KTT Mkoa wa Ruvuma Amoni Mwenda akifurahia Maelezo ya faida vya Vitambulisho vitaweza kuwa saidia wakulima kupata mikopo,kujua uchumi wa taifa na idadi ya watanzania, kuweza kutoa mikopo ya pembejeo kwa walengwa husika,hakuwa na uhakika kuwa wewe ni mtanzania
No comments:
Post a Comment