Mama Mgonja akiwa na Jagi wa Miss Bantu wakisherekea kwa pamoja
Mama Mgonja akifurahia mwaka mpya anasema alicho jifunza ni kuwa na moyo wa upendo kwa wazima na wagonjwa chama chao mpaka sasa kimesha tumia kiasi cha shilingi milioni mbili kusaidia wagongwa na watoto wanao ishi maisha hatarishi
Akina mama wakipare na kichaga wakiwa wameandaa vyakula vya asili tayari kwa kuwapa walaji
Mama akieleza jinsi alivyo fanya na kuwa kusanya wa chaga na wapare ili kudumisha mila zao ikiwa na pamoja na kujali vyakula vya asili
Zena Msangi akitoa maelezo jinsi anavyo tengeneza vya kula vya asili vilivyo mfanya awe na British fige
Fatuma Swai akifurahi na Mmoja wawanake wakipare kama unavyo mwona katika picha
Vyakula vya asili vilivyo tayarishwa asilimi 75% ya vyakula hivyo ni kinga ya magonjwa mbalimbali
Nguo za Heshima ni moja ya dalili ya kudumisha heshima ya mwafirika hebu ona mavazi yao
Mlezi wa kikundi cha Lukondo Nyika Vache mama Fatuma akieleza utamadifauni wa kipare na kichaga ulivyo na faida kwa Ta
Siku ya sherehe husahau mambo yote ndivyo unavyo waona akina mama hawa
Kupata Rafiki ni kitendawili mtu anapo pata zawadi na kujua Rafiki yake hupata ki wewe kama unavyo mwona mama huyo pichani
Wapare na wachaga hawako nyuma katika ngoma za utamaduni hapo waki kumbuka kwao uchagani na upareni
Marafiki wawili wakisherekea Mwaka Mpya
Hiyo ni furaha ya kupeanapo Zawadi inapo fika kila mwaka |
Wakati wa ufunguzi wa Shampeni wanawake wa kipare wakiujidatika sherehe ya mwaka kwa wanawake wa kipare na kichaga wanao ishi mkoa wa Ruvuma
Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akifurahia vitu vya asili vya kichaga na kipare
Mkuu wa Wilaya ya Songea akiwa ameshika Dumula kwa lugha ya Wangoni kufurahia Pombe ya kichaga iitwayo Mbege
Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akiwa asa wanawake wakipare kuisaidia serekari kurudisha maadili ya mwafirika ya kuwa na upendo ,haiba, na kujali usitarabu wa mwafirika. kuachana na vikundi vinavyo fundisha watoto wa kike na wakiume maadili mabaya
Keki iliyo Tengenezwa Kiasili ikiashiri kukumbuka aliko toka mwafirika na Vyakula vyake hapo ikiwa tayari kuliwa
Dalili ya Upendo ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti kumshikisha kiupendo kwa kulishwa keki na Mhimili wa Chama Mama Komba
Wanakikundi cha Lukondo Nyika Vache wakisherekea mwaka mpya kwa kufanya tendo la Shampeni
Mshindi wa Miss Bantu akiwa amevalia Namba 3 wakati wa mavazi ya Asili onyesho ilililo fanyika Songea Club
Moja ya Dalili za Upendo ni Kulisha keke kama anavyo fanya Mama Komba kumlisha Mwenyekiti Mama Mbaruku Keki
Mwenyekiti wa Chama cha Lukondo Nyika Vache Mama Mbaruku akieleza msimamo wa chama chake kuwa lengo kubwa ni kuwa rudisha walio kinyume na jamii katika Malezi
Fafuma Swai mmoja wa kikundi cha Wa Mama wa Pare akitoa maelezo jinsi ya kutumia vyakula vya Asili vya Kipare na Kichaga
No comments:
Post a Comment