Akina Mama wamekuwa mstari wa Mbele katika kupeleka watoto kupata Chanjo ya RUBELLA na SURUA hapo wapo Zahanati ya Mjimwema Manspaa ya Songea
Dr Makunja akitoa Maelezo kuhusu Chanjo ya Kitaifa na kuwataka wazazi wasiwe na hofu na chanjo ya Surua na Rubella ambayo inalenga kuchanja watoto 640,156 katika mkoa wa Ruvuma
Mgeni Rasimi Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akijianda Kufungua Chanjo ya Surua na Rubela kimkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu
Mgeni Rasimi akitoa Hotuba kuhusu chanjo ya Kitaifa na Watu watakao Husika na chanjoambao ni watoto 258,359 chanjo ya vitamini A na Watoto walio chini ya miezi 12 watapata Mebendazole . Aidha tiba ya Matende,Busha ngiri ,usubi na minyoo ya tumbo pia ita tolewa kuaznia umuri wa miaka 5 na kuendelea kwa kutumia Mebendazole na ivemectin ina kadiriwa watu wapatao 1,148,262 wata pata tiba
Mkurugenzi wa Manspaa ya Songea akiwa Mjimwema Kushuhudia Uzinduzi wa Chanjo kitaifa
Mkuu wa Wilaya ya Songea akimeza kidonge cha kuzuia Surua na Rubela
Mkuu wa Wilaya akizindua Chanjo ya kitaifa hapo akimpa Mtoto chanjo ya Vitamini A
Wazazi wakiwa katika siku ya Chanjo ya Kitaifa wakimwangalia Mkuu wa Wilaya akitoa Chanjo Kwa Mtoto ya Vitamini A
No comments:
Post a Comment