Amani ina tokana na nini Amani inatokana na vitendo vya
viongozi ,kujali Mayatima pale wanapo sherekea siku zao za kuzaliwa aqu sherehe
za Crismasi ,Iddi Fitiri na sherehe zingine za kitaifa ni lazima uone jirani
yako yuko masikini fukara au yatima kama anavyo onyesha Msitaiki Meya Chares
Mhagama kwa kula chakula na Mayatima.
Watot hawa wanasema wange omba sikukuu ya Mwaka mpya iwe kila siku ili wale wanye kama wanavyo onekana lakini kuwa fanya hivyo kuna tokana na wazazi kila mzazi akijua kuna yatima na kutenga bajeti yake ataweza kufanikiwa kwa kulisha mayatima na masikini
Watoto wa Manspaa yaSongea wakisherekea sikuuu ya Mwaka Mpya kwa kula Chakula na Meya wa Manispa Chares Mhagama
Chares Mhagama Meya wa Manspaa ya Songea amesema kila wakati katika kicha chake anawaza ingewezekana watoto wanao ishi katika mazingira magumu tunge weza kugawana watu wote ili kupunguza aza inayo wakabili watoto hao
Mababu zamani ili kuweka maadili mazuri kwa vijana wao
walikuwa na kitu kinacho itwa jando, jando ni moja ya kumweka kijana maisha ya
ndoa ili aingiapo katika ndoa ajue jinsi ya kutunza familia yake kilicho
sisitizwa ni nyumba kuto kuwa na njaa, kuwaq shujaa wakati janga likitokea
,kuzima moto,kupambana na wanyama, pia kuwa mlinzi wa jamimi. Jambo hilo hivi sasa lina fanywa kwa kupeleka vijana kaiti kambi
za JKT kama wavyo onekana hapa yote ni
kuwa fundisha kulinda inchi yao
na kuleta amani
Viongozi wa kitaifa na wa mikoa mara zote wanatakiwa kuwa na
ubunifu kutafuta njia za kuweza kuwafanya wananchi wawe na imani nao kwa kuweza
kutafuta njia za kuwa toa katika umasikini, Viongozi wakiwa jirani na wananchi
kama wanavyo onekana hapo ita saidia kujua matatizo ya wananchi hapo meya Chares Mhagamaana mbungeDr Emanuel John
Nchimbi wana badilishana mawazo kuhusu maendeleo ya jimbo la songea
Nikawaida kwa Viongozi wenye Msimamamo kuongea na Waandishi wa Habari katika kujua Maendeleo yaliyo fanyika Hapo kiongozi Shupavu aqmbaye Mungu amempenda zaidi na kuweza kuchukuliwa na Mungu Cap John Komba akiongea na waandishi wa Habari kutoka kushoto Nathani Mtega na anaye fruata Juma Nyumayo wa Mwisho kulia ni Adamu Nindi, Jee Viongozi wote wana fanya hivyo,Viongozi igeni igeni mfano wake Cap John Komba ili kuendeleza amani
Uhuru wawatoto ni kwenda kila wapendapo na kuhakikisha ulinzi wao upo na amani ina patikana kama unavyo ona katika picha hii
Watoto hupenda sana michezo kama alivyo samaki anavyo penda maji ,wazazi waacheni watoto wenu kushiriki michezo mbalimbali.Lakini amani hii ina tokana na viongozi wazuri tuwe macho hapo Octoba Mwaka huu kuchagua viongozi Bora ili amani idumu
Tunapo sema Amani ni pamoja na kuona watoto wanawake wana
kuwa na sehemu za kiupata burudani na kuweza kusitarehe na watoto wao ,Ndugu8
zangu kama unavyo ona watoto wakicheza kwa furaha hiyo ina tokana na serekari
kujali zaidi kudumisha amani, sasa tuna enda kwenye uchaguzi tufanyeje ili
amani hii iendelee ? jibu ni kuchagua viongozi bora na siyo bora viongozi.
Angalia Furaha ya Watoto wanapo kuwa na Amani ndugu zangu Mke ukiwa naye huwezi kuona Uzuri wake ndivyo ilivyo amani ikitoka tuta juta na sisitiza tuchague viongozi wazuri
Mtoto kutembea bila hofu ni furaha kwa wazazi hebu ona kuku kila wakati haamini kama mtoto wake yuko salama kazi kubwa ni kuogopa Mwewe,Paka,Nyoka, Lakini watoto wa kitanzania wao wako huru,
No comments:
Post a Comment