Katibu wa chama cha mapinduzi Taifa Abrahamani Kinana
amekuwa msitari wa mbele kuhakikisha wana CCM hawaingii katika tama ya uongozi
jee watanzania tufanyeje ili lile linalo zungumuzwa na viongozi tuna lifuata.
Hapa Sipika wa Bunge Mh, Anna Makinda akisalimiana na wana CCM Jee hali kama hiyo haipendezi kwa watanzania tufanye juhudi kulinda matunda haya
Mfanya bishara Mashuhuri akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama Abrahamani Kinana katika uwanja wa Ndege Luwiko Songea,
Nimoja ya Mioyo Mizuri ya kulinda demokorasia kuwa jali watu wa chini ndiyo fundisho analo toa Katibu Mkuu wa CCM Abrahamani Kinana
Hebu tuone hawa hapa
ni viongozi ambao waliacha shuguli zao na kukimbia kuja kumuzika mwenzao Cap
John Damiani Komba, jee kuna uwezekano wakuendelea katika iti kadi hiyo ?
Afisa Biashara Manspaa ya Songea Mohamed Challe akipeana Mkono wa Heri na Waziri Msitahafu Edward Luwasa katika uwanja wa Ndege Songea
Nikazi ngumu kwa viongozi wanapo fika kusalimiana na kila aliye mbele yake lakini hiyo inatokana na jinsi unavyo jituma kwa watu ndivyo ilivyo kwa Waziri Mstahafu Edward Luwasa
Vijana wa Chipukizi hawa kuwa mbali na kiongozi wao Waziri Mkuu Mstahafu Edward Luwasa kila mmoja alitaka kuushika mkono wake
Waziri mkuu mstahafu Edward Luwasa amekuwa akionyesha mfano
wa upendo kwa watanzani hii ni mara ya pili kuja kushiriki shuguli za kijamii
tarehe mosi mwezi wapili alikuja kushuhudia miaka 38 ya CCM sherehehe zilizo
fanyika mkoani Ruvuma pia katika mazishi ya
Cap John Komba amekuja kwa ndege ya kukodi, uzalendo huo tunauonaje ?
Nema kwa wanachi wa Mkoa wa Ruvuma kusalimiana na kiongozi wanaye mpenda mwenye kujali watu enzi zake, shukurani za wana ruvuma ni kupeana naye mkono
Kijana Machachali wa CCM akiwa na Furaha kuona lengo lake la kuonana na waziri Mstahafu Edward Luwasa lime timia, alisikika akisema nilazima niende uwanja wa Luhuwiko ili ni mlaki Edward Luwasa
Katibu wa CCM Abrahamani Kinana akisalimiana na Vijana wa Chipukizi na kuwa sisitiza kukilinda chama na kuwa mstari wa mbele kutekeleza ilani za Chama
Kila mmoja ana jua kuwa hakimu au jaji anapo hukumu kesi
wasikilizaji wana kuwa Mahakimu namba moja,Hata mpira wa miguu unapo chezwa
mashabiki ndio wanao kuwa waamuzi, Mwamuzi akienda kinyume basi ujue mashabiki
wata mzomea, kwa maana hiyo naomba kila mtanzania awe mwamuzi wa uchaguzi unao
kuja ili tuweze kuchagua viongozi wazuri.
Viongozi wa Serekari na viongozi wa chama wamekuwa wakiimba
wimbo wa Amani jee watanzania tuna upokea wimbo huo wa amani ni juu yetu hivi
sasa kuingia katika chumba cha mtihani ili kila kiongozi anaye toa sera zake
majibu yawe mwezi wa kumi mwaka huu, lakini katika kuingia darasani tusimusahau
Mwenyezi Mungu.
Kijana machachali wa CCM Nape Mnawiye akiteremuka katika ndege ya kukodi kueneza itikadi za Chama
Binadamu amezoea lawama mara zote anasahau kile anacho fanya
yeye jee ni kizuri, umefika wakati wakujiandikisha katika dafutari la mpiga
kura, uta kuta mwingine hana habari kabisa lakini akichaguliwa kiongozi mbovu
yeye ana kuwa wa kwanza kulamu. Na mnukuru sipika wa Bunge la Jamuhuri ya
Mungano wa Tanzania Anna Makinda amesema
:ujitahidi kufanya mazuri ili ukifa iwe ni kumbukumbu lako kwa vitendo vizuri
ulivyo fanya
Ukiwa na nia ya kuwa pamoja na watu hutaona garama ya kukodi ndege unacho taka ni kuwa karibu na wananchi
No comments:
Post a Comment