Moja ya mambo ambayo huleta madhala katika jamii ni pamoja
na kukunja sheri pale wakubwa wanapo kosea, Kwa mfano Idara ya Mistu kazi yake
ni kulinda Mistu lakini wanapo bahatika kumkamata mhalifu hasa
kizitokumchukulia sheria ina kuwa ngumu hebu angalia miti hii iliyo katwa kabla
ya kukomaa ambayo ingeweza kutoa mbao mzuri hapo baadaye, aliye kamatwa anawaka
kamambogo jee hii ni halali. Nenda pale misitu wlaya utikuta hiyo miti uliza
kwa nini ipo hapo jibu utakalo pata ni kuwa katisha taami waaa wafanyakazi wa
sekita ya Mistu
Huu ni mmoja ya mikaa iliyo shikwa na wafanyakazi wa Maliasili ikiwa Wilayani Songea na wenyewe wakiwa wame kimbia
Wafanyakazi wa Mistu mkoa wa Ruvuma wanajitahidi kufanya
doria la mara kwa mara lakini uhalibifu unao tokana na Moto ni Mkubwa sana, Hebu angalia
Uchomaji wa Mkaa unavyo asili Misitu. Mkaa huo wote unao onekana umekamatwa na
wachomaji mkaa wote wamekimbia jee kwa hali hii mistu ita pona
Uchomaji huu wa Mkaa hau fuati Taratibu hata miti midogo huchomwa moto ukienda Porini hivi sasa hata Mwembe wana choma Mkaa ,kwa hali hii wewe na mimi tuna saidia vipi
Baadhi ya wanchi walio kuja kuangalia miti inayo katwa ovyo
na mkaa unao chomwa bila kufuata sheria.watu hao walio shuhudia uhalibifu huo
wamesema imefika wakati sasa kwa wananchi kutoa tarifa kwa wale wote wanao
choma mistu na kusababisha hasara kwa wananchi
No comments:
Post a Comment