KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, October 16, 2017

WAKULIMA WA MKOA WA RUVUMA WANUFAIKA KATIKA MASWALA YA UFUGAJI NA KILIMO KUPITIA UFADHILI WA NCHI YA ITALIA


Serikali Mkoani Ruvuma imelishukuru serekari ya Italia na  Dhehebu la Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania  katika kuondoa Umaskini miongoni mwa wanawake wazee na Vijana.

Balozi wa Italia Nchini Tanzania Roberto Mengoni amesema ana tegemea mradi wa maziwa uuzaji wake utaweza kufikiahadi mikubwa kama  Dar es salaam  


Mhashamu Asikofu Mkuu wa Jimbo la Songea Damian Daluamewshukuru kwa serekari ya italia kwa kuweza kuwa fanzili wa fugaji katika Nyanja za  Ufugaji Ng`ombe, Kuku, Nyuki  na Kilimo na kuwafanya waweze kufikia uchumi wa kati.
Wadau waliokuja kushuhudia ghafula ya uzinduzi wa Maabara ya Mifugo na zoezi la kuhitimisha wafugaji na wakulima walionufaika na mafunzo ya kilimo na mifugo kupitia ufadhili wa Serikali ya Italia

Mradi wa FARE katika Chuo cha Mifugo Mahinya wilayani Namtumbo toka  ulipoanza umeshawafikia wakulima 3000 pia baadhi ya wanufaika wame weza kupewa vitendea kazi.
Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo katoliki la Songea Askofu Damian Dalu kushoto amesema wananapata faraja wao kama kanisa kuona wanapata wadau  wa maendeleo wanaounga mkono jitihada za kanisa katika kushirikiana na Serikali kuinua Elimu ya jamii ya Watanzania kwa kuwasaidia kuwaongezea maarifa ya ujuzi na kufanya usatawi wa jamii uimarike.
Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Songea Damin Dalu amesema lengo la kanisa kuinua watu katika nyanja za elimu na kuondokana na umaskini elimu wanayoitoa ni ile inayoanzia ngazi ya chini ya awali ili kujenga msingi.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binith Saatano Mahenge ameyasema hayo katika Hafla ya kufunga mafunzo ya Kilimo na Mifugo kwa wafugaji 59 kutoka katika   Vijiji vya Mkoa wa Ruvuma ufungaji ulio ambatana  na uzinduzi wa maabara ya mifugo katika chuo cha Mafunzo Mahinya wilaya ya namtumbo mkoa wa Ruvuma  ,Mkuu wa Mkoa ameishukuru nchi ya Italia kwa kusaidia kuinua uchumi wa Tanzania

 Afisa Mifugo wa Mkoa wa Ruvuma Dr Ramadhani Mwaiganju akitoa ufafanuzi wa Matumizi ya vifaa vya kufanyia kazi kwa wahitimu 58 wa Mafunzo ya Mifugo kupitia mradi wa FARE wakishirikiana na shirika la COPE kwa ufadhili wa Serikali ya Italia katika Kituo cha Mahinya Kata ya Msindo wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma.
 Mgeni Rasmi katikaghafla ya kufunga mafunzo kwa wafugaji na wakulima wa Mkoa wa Ruvuma Balozi wa Italia Nchini Tanzania Robertor Mengoni akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Dr Binilith Satano Mahenge wakikabidhi vyeti na vitendea kazi kwa wahitimu wa mafunzo ya kilimo na mifugo yaliyowezeshwa na Serikali Itali kupitia Mradi wa FARE (Fair Agro - Zootechnical Reginal Empowermrnt) Mkoani Ruvuma.
Mradi wa FARE ni mradi wa miaka miwili mkoani Ruvuma wenye lengo la kujengea uwezo wananchi wa vijijini wenye kipato cha chini na kuwawezesha kujiiniua kiuchumi kutoka kwenye hali ya chini hadi uchumi wa kati wa viwanda vidogovidogo.
Wahitimu wa Mafunzo ya Ujasiliamali Kilimo na Mifugo kutoka Vijiji vya wilaya 3 za Mkoa wa Ruvuma wameshukuru kwa kupata mafunzo ya kuwawezesha kufuga kisasa na kilimo cha biashara wameomba kuendelea kupewa mafunzo endelevu ili kuwajengea uwezo zaidi pia wameomba serikali ya mkoa wa Ruvuma kuwawezesha Mikopo ya Ng`ombe na Fedha ili iwasaidie kupata mitaji ya kuendesha shughuli za kiuchumi zinazoendana na mafunzo waliyoyapata.
Wahitimu walionufaika na Mradi wa FARE wameiomba Serikali kutatua changamoto ya kukosekana kwa umeme wa uhakika katika eneo la mradi katika Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji endelevu Mahinya ili kurahisisha utoaji wa mafunzo kwa vitendo na hasa katika Maabara ya Mifugo ambayo imezinduliwa itakayosaidia kuchunguza afya ya Mifugo mkoani Ruvuma.
Viongozi wa Serikali ya wilaya ya Namtumbo, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Dr binilith Satano Mahenge, Balozi wa Italia Nchini Tanzania Robertor Mangoni, Mhasham Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Songea Askofu Damian Dalu na Mkurugenzi wa Taasisi ya AICS kutoka Italia wafadhili wa Mradi wakiwa katika picha ya pamoja katika chuo cha Mafunzo ya Mifugo Mahinya.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Dr Binilith Mahenge kushoto ameagiza shirika la umeme TANESCO wilaya ya Namtumbo na Meneja wa TANESCO Mkoa wa Ruvuma wahakikishe wanafikisha umeme kwa haraka katika chuo cha Mifugo Mahinya ili kuwezesha vifaa vilivyopo katika Maabara ya Mifugo kufanya kazi ya utafiti wa magonjwa ya mifugo na tiba.
Mhandisi Dr Binilith Saatano Mahenge Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Robertor Mengoni wakipokea taarifa ya kazi za Maabara ya Mifugo iliyopo Chuo cha Mifugo Mahinya wilayani Namtumbo muda mfupi kabla ya kuzindua.

Mkurugenzi wa Shirika la COPE Nchini Tanzania Valentina Quaranta amesema shirika lake limeweza kutoa Mafunzo ya Ufugaji kwa wakulima 200 shabaha ni kuendeleza viwanda vya uzalishaji maziwa hasa kwa kuwainua  Wanawake.
Mkurugenzi wa Chuo cha Mahinya Zakayo Mwampagatwe akitoa ufafanuzi mbele ya wageni wa Heshima katika ghafla ya kuhitimisha wakulima 58 waliopata mafunzo ya Ufugaji endelevu, Kilimo bora na ujasiliamali.
Mkurugenzi wa Shirika la COPE Nchini Tanzania Valentina Quaranta  amesema shirika lake linalenga kutoa mafunzo endelevu kwa wakulima na wafugaji ili kuwajengea uwezo wa kujiajiri na kukuza pato la kaya na taifa kwa ujumla.
Kulia ni Balozi wa Italia Nchini Tanzania Robertor Mengoni akiwa na Mkurugenzi wa AICS wafadhili wa Mradi wa FARE unaotekelezwa katika Chuo cha Mafunzo ya Mifugo Mahinya kijiji cha Nambehe Kata ya Msindo wilayani Namtumbo wakati wa sherehe za kuhitimisha wakulima 58 ulioambatana na uzinduzi wa Maabara ya Mifugo.
• MAFUNZO YA KAMPUNI & MAFUNZO, INSTALLATION & UPGRADES,
• ANT-VIRUS / SECURITY SOLUTIONS,
• SOLUTIONS YA UTAFUJI & MAFUTAJI, NETWORK DESIGN & INSTALLATION
• Usalama wa CAMERA DESIGN & INSTALLATION,
• UFUMU WA ROUTER / SWITCH & SUPPORT,
• MAELEZO YA KUTUMIA MASHARA YA INTERNET,
• INSTALLATION YA SERVER & SUPPORT (WINDOWS
• LINUX)
• MAELEZO YA HABARI YA WAKAZI NA WEB HOSTING,
• SALE ZA MAKUFU NA MAFUNZO
• MAENDELEO YA SMARTPHONE NA UPGRADES

MATENGENEZO YA COMPUTER NA CAMERA
MAFUNZO YA KAMPUNI & MAFUNZO,
 INSTALLATION & UPGRADES, 
ANT-VIRUS / SECURITY SOLUTIONS, 
SOLUTIONS YA UTAFUJI & MAFUTAJI, 
NETWORK DESIGN & INSTALLATION 
Usalama wa CAMERA DESIGN & INSTALLATION, 
  UFUMU WA ROUTER / SWITCH & SUPPORT, 
MAELEZO YA KUTUMIA MASHARA YA INTERNET, 
INSTALLATION YA SERVER & SUPPORT (WINDOWSLINUX) 
MAELEZO YA HABARI YA WAKAZI NA WEB HOSTING
SALE ZA MAKUFU NA MAFUNZO
 MAENDELEO YA SMARTPHONE NA UPGRADES

KWA MAWASILIANO PIGA
0746644611/ 0673834425

Sunday, October 15, 2017

MICHEZO TFS



Watumishi wa tasisi za uma wametakiwa kushiriki michezo ili kulinda afya zao pamoja na kujenga mahusiano mazuri kati ya tasisi na tasisi
Wachezaji wa Timu ya Veterani ya Harimashauri ya Madaba na Timu ya Wakala wa Misitu mkioa wa Ruvuma TFS  wameya sema hayo waka
Ti wa mchezo wa kirafiki kati ya timu ya  Vetenari ya Halimashauri ya madaba na Wakala wa Misitu  Ruvuma mchezo ulio fanyika katika u wanja wa Bombambili manspaa ya songea
             Katika mchezo huo timu ya Wakala wa Mistu Mkoa wa Ruvuma ili weza kuifunga timu ya Vetenari ya Halimashauri ya madaba bao moja  lililo fungwa  na dakika ya 22 na mchezaji Emanuel Mwaisaga  bao hilo lilidumu  hadi mwisho wa mchezo  

MSAADA WA KISHERIA STORY



Kutokana na kuwepo kwa Msaada wa Kisheria kwa njia ya kujitolea Mkoani Ruvuma umesaidia kupunguza wafungwa katika Magereza baada ya kupata Elimu ya Sheria.

Kuwepo kwa watoa Elimu wa Msaada wa kisheria Mkoa wa Ruvuma kumesaidia kuwapa uelewa wananchi kudai haki zao,.  Hakimu Mkaazi wa Mkoa wa Ruvuma Yakobu  Nyongolo  k  amewaomba wasaidizi wa kisheria kutumia mtlandao ili elimu wanayoitoa iweze kufika mbali.

Mkurugenzi wa AI lC  Agines Haule   ameeleza mafanikio ya AICL mkoa wa Ruvuma yameweza kuwapa elimu ya kujua sheria Naye  msaidizi wa kisheria kutoka mbinga amesema kupungua kwa wafungwa katika magereza ni baada ya watu  kupata elimu ya kisheria.
Mgeni rasimi aliye mwa kilisha mkuu wa mkoa wa Ruvuma amewaqtaka wasaidizi wa kisheria kusimamia sharia na kanuni
 Msaada wa Kisheria katika Mkoa wa Ruvuma umeweza kuwafikia watuzaidi 400

misitu songea two

Friday, September 29, 2017

UCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU NA MADINI YA VITO MKOANI RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa katika Ziara ya kuhakikisha Mkoa wa Ruvuma una kuwa Mkoa wa Viwanda hasa vya Madini, Hapo Mkuu wa Mkoa akielekea kukagua Machimbo ya kuchimba madini ya Dhahabu eneo la lulalasi Wilayani Mbinga Mkoa wa Ruruma kutoka kushoto ni  Mkuu wa Wiliya ya Mbinga na aliye Vaa shati la Durfuti ni Meneja wa Machimbo ya Dhahabu ndugu Johnson Nchimbi
Wananchi wa Lukalasi wakisikiliza mkutano wa Hadhara kuhusu uwekezaji wa viwanda cha kuchimba madini ya Dhahabu na wananchi kuahiwa kuwa wata letewa umeme ili kurahisiha uchimbaji wa Madini
Pamoja na kazi ngumu wanayo ifanya ya kuchimba madini kwa kutumia mikono hata hivyo hawakuona kazi kuona nini kina semwa kati serekari ya awamu ya tano kuhusu viwanda na madini
Afisa Madini Mkoa wa Ruvuma akiendelea kuwahimiza wachimbaji wadogo kukata leseni ili serekari nayo ipate mapato wale watakao chelewa leseni zao zita futwa
siyo kweli kuwa wanao ishi katika machimbo hawana nyumba mnzuri huo ni uthibitisho kuwa machimbo ambako ni porini nako kuna nyumba mzuri kama unavyo ona nyumba ambayo iko Lukalas Wilayani mbinga
Mhandisi kutoka Tanesco Ru8vuma Hamis Sothenes akieleza hatua zilizo fanyika mpaka sasa kuhusu umeme vijijini katika awamu hii jumula ya vijiji m138 vita pata umeme, lakini juhudi zina fanywa kuhakikisha vijiji vilivyo baki kukiwepo na bajeti ita angalia vijiji vilivyo baki aliwaomba wananchi kuwa na subira
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Binilith Satano Mahenge amesema juhudi zilizo onyeshwa na Meneja wa Machimbo ya Dhabu Lukalasi ni Makubwa serekari itahakikisha kuwa ina saidia kuteta umeme katika machimbo hayo, amesema madini ya Dhahabu ambayo yako ukotoka juu mpaka chini aridhini ni karibu mita mia mbili hicho nikiasi kikubwa cha madini ni lazima serekari i8fanye juhudi za kuleta umeme kwanza ita ongeza ajira, pili serekari ita pata mapato
wachimbaji wa madini ya vito wakiwa katika mkutano wa hadhara eneo la ndenda mbili kusikiliza swala la umeme wa leya utakavyo letwa vijijini
safu ya maafisa wa Madini waqkisikiliza kero za wananchi katika eneo la ngembambili wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma
wakaazi wa Ngemba mbili wakimwomba mkuu wa mkoa swala la umeme wa Leya
mama soko akimwomba mkuu wa mkoa kuhusu swala la maendeleo hasa kusu shule
Mwenyekiti wa kitongoji cha ngembambili  Sige Mahundi akielezea juhudi zilizo fanyika kuhusu shule na mchango unao endelea kuhakikisha shule ya wawali inajengwa
kaimu mkurugenzi wa Halimao jengwa zipo wananchi wasiwe na wasiwasihauri ya Mbinga amesema fedha kuhusu upauaji wa shule zitakaz
viongozi wa Ngembambili wakisikiliza kwa makini kuhusu uchimbaji wa madini pamoja na maswala ya maendeleo iki wemo shule,Zahzahanati
mwenyekiti wa kitongoji cha ngembambili Sige Mahundi akipokea maelekezo ya kuhimiza wananchi wajitokeze kufanya shuguli za maendeleo kwa kushiriki kwa nguvu zao kujenga Zahanati,shule na mindo mbinu ya barabara
maafisa wa Madini wakiongozwa na Mahobe
wananchi wa Lukalasi wakiwa na furaha baada ya kusikia kuwa umeme wa leya uta wafikia hapo pao
nivijana ambao wana jihusisha kuchimba miamba ya mawe ili waweze kupata Madini ya Dhahabu
kijiji kizima cha lukalasi kilijumuika kumpokea mkuu wa mkoa wa Ruvuma na kusikia juhudi zinazo fanywa na Rais wao kuhusu maendeleo kwa ujumula vijijini

mkuu wa mkoa aqkipitia orodha ya madini yanayo patikana mkoani ruvuma ili mwenye kuweza aende semu yaliko madini ajikomboe katika Umasikini
OCD kutoka wilaya ya mbinga akiendelea kupanga safu yake ili Ani na Utulivukuweka hali ya
kutembea ni zoezi eneo lote linalo kanyagwa lina madini ya dhahabu hilo ni eneno la Lukalasi Wilayani Mbinga

Afisa Madini Mkoa wa Ruvuma akifafanua upatikanaji wa leseni za madini mkoani hapa
Meneja wa Machimbo ya Dhahabu Johnson Nchimbi akitoa tarifa ya uchimbaji wa Madini ya Dhahabu kuwa wame kwama kutokana na ukosefu wa mindo mbinu ya umeme mashine zime simama toka mwaka 1993 kutokana na kushindwa kumudu uchimbaji kwa kutumia mashine za umeme