Kutokana na kuwepo kwa Msaada wa Kisheria kwa njia ya
kujitolea Mkoani Ruvuma umesaidia kupunguza wafungwa katika Magereza baada ya
kupata Elimu ya Sheria.
Kuwepo kwa watoa Elimu wa
Msaada wa kisheria Mkoa wa Ruvuma kumesaidia kuwapa uelewa wananchi kudai haki
zao,. Hakimu Mkaazi wa Mkoa wa Ruvuma Yakobu Nyongolo k amewaomba wasaidizi wa kisheria kutumia mtlandao
ili elimu wanayoitoa iweze kufika mbali.
Mkurugenzi wa AI lC Agines Haule
ameeleza mafanikio ya AICL mkoa
wa Ruvuma yameweza kuwapa elimu ya kujua sheria Naye msaidizi wa kisheria kutoka mbinga amesema kupungua
kwa wafungwa katika magereza ni baada ya watu kupata elimu ya kisheria.
Mgeni rasimi aliye mwa
kilisha mkuu wa mkoa wa Ruvuma amewaqtaka wasaidizi wa kisheria kusimamia
sharia na kanuni
Msaada wa Kisheria katika Mkoa wa Ruvuma umeweza kuwafikia
watuzaidi 400
No comments:
Post a Comment