Ndugu msomaji napenda kukumbusha mambo mema ambayo yameta mafanikio katika mkoa wa Ruvuma unawaona hapo juu ni wanafunzi katika Chuo chaKilimo na Mifugo cha LITI MADABA hao ndio walio leta ufaulu katika kilimo na ufugaji mkoa wa Ruvuma
KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Saturday, April 14, 2012
UNAKUMBUKA NINI KUHUSU PICHA HIZI ZA VIONGO MIAKA ILIYO PITA ?
Ndugu msomaji napenda kukumbusha mambo mema ambayo yameta mafanikio katika mkoa wa Ruvuma unawaona hapo juu ni wanafunzi katika Chuo chaKilimo na Mifugo cha LITI MADABA hao ndio walio leta ufaulu katika kilimo na ufugaji mkoa wa Ruvuma
Friday, April 13, 2012
WANARUVUMA TUNAENDA WAPI ? HAYA MAUJI ASILI YAKE NINI
Wednesday, April 11, 2012
YALIYO TOKEA YAME TOKEA CHA MSINGI TUMWOMBEE DADA LULU APATE AFYA NJEMA MWAMUZI NI MUNGU NDIYE MWENYE KUJUA UKWELI
Hatima ya msanii maarufu wa kike Elizabeth Michael maarufu kama “Lulu” (pichani) anayeshikiliwa Polisi kutokana na kifo cha Msanii Steven Kanumba iko mikoni mwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Charles Kenyela alisema suala la msanii wa huyo kusema ana kesi ya kujibu au la liko mikononi mwa DPP ambaye atatakiwa kulipitia faili lake na kujiridhisha kama ana kesi ya kujibu au la.
“Kumpeleka Mahakamani ni mpaka DPP tutakapomwasilishia jalada ya tuliyoyakusanya na ndiye atakayeamua kama kuna kesi ya kujibu au hakuna” alisema Kamanda Kenyela.
Alisema hadi hivi sasa wanasubiri ripoti ya uchunguzi wa Daktari ambayo hata hivyo hatatolewa kwa vyombo vya habari kwa kuwa huwa ni siri.
“Bado tunasubiri ripoti ya Daktari na upelelezi unaendelea ila ripoti hiyo ni siri, si lazima apelekwe Mahakamani kesho kwa kuwa bado upelelezi.
KIFO CHA STEVEN KANUMBA
Mungu alito na Mungu amechukua Jina la bwana lihimidiwe pichani juu ni msanii Siteven Kanumba ambaye hivi sasa hatunaye wewe na mimi una zungumuza nini kuhusu kifo hiki. Panapo tokea kifo ni muda mzuri wa kutafakari ili kupunguza matatizo kati ya wewe na mimi. katika kitabu cha agano la kale Mhubiri sura ya 7 ina sema Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu.mara nyingi tunapo kumbwa na hasira ujue kuwa umesha kuwa mpumbavu jambo la mhimu ni kujiepusha na hasira, Ndugu zangu jiepusheni na mambo yanayo tukabili
Binadamu hasitahili kufanya vurugu hebu ona ubongo wa binadamu ulivyo fuvu hilo hapo juu ni fuvu la msani Siteven Kanumba eneo lililo chorwa mkuki ni sehemu aliyo jigonga na ubongo kushindwa kufanya kazi ya kuruhusu mishipa ya hewa kufanya kazi yake , akina baba akina mama tujitahidi kuto kuwa wagomvi
Ukipatwa na matatizo mtegemee Mungu ndiye pekee mtatuzi wa majonzi hapo ndugu wa Siteven i Kanumba akiwa amezimia nakupewa huduma ya kwanza
Ingawa wengi hushutumu kazi za wandishi wa habari lakini katika kifo cha msanii Siteven Kanumba watuwengi walitarajia kupata habari zilizo sahihi hapo wandishi wahabari wakifanya kazi yao
Serekari ina majukumu juu ya Raia wake Ili kuonyesha ushikiano kati ya Raia na Serekari ni pale serekari inapo jitokeza katika matatizo ya raia. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Mohamed Bilali akiongoza katika mazishi ya Msanii Siteveni KanumbaShetani akiingia kati yenu anajulikana baada ya madhara kutokea dada Lulu akitafakali kwa makini kwa nini shetani alingia kati yao, cha msingi ni kutoangalia kosa ni swala la kuweza kusawazisha jambo kila nafisi Mungu aliipangia kifo chake ingawa kipo kitu kina itwa Kadiri ya Mungu
Sunday, April 8, 2012
SHEREHE ZA PASAKA SONGEA
Thursday, April 5, 2012
CHAMA CHA USHIRIKA MANISPAA YA SONGEA CHA PATA MAFANIKIO
Wanachama wa Saccos ya Halmashauri ya Songea wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Kawaida wa chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo uliofanyika katika Ukumbi wa Saccos ya Walimu Songea Vijijini Manispaa ya Songea.
MWANAMKE SONGEA ABAKWA NA KUUWAWA
Subscribe to:
Posts (Atom)



