KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Friday, April 13, 2012
WANARUVUMA TUNAENDA WAPI ? HAYA MAUJI ASILI YAKE NINI
Wanaruvuma naomba niulize jee hivi utandawazi maana yake ni kufanya vitendo vya mauaji kila kukicha mwanamke kauwawa tuseme hawa wauaji wanapo ua hakuna sauti inayo tolewa na mtu anaye uwawa,Mia ya 1961 mpaka mwaka 2000 mtu akipiga yowe watu walikuwa wakikusanyika ili kutoa msaada. sasa hebu tuone kwa siku mbili mfululizo wanawake wawili wameuwawa, mmoja kutoka Magereza na mwingi unaye mwona hapo juu ameuwawa eneo la Majengo. Ndugu zangu mfichaficha maradhi kilio kina mfichua, ukiona mwenzako ana nyolewa basi wewe tia maji, Kama una tarifa basa toa tarifa kwa maandi au toa tarifa POLICE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment