
Mhashamu Asikofu Mkuu wa jimbo la Songea Norobeti Mtega akiwa katika ibada ya Pasaka akiwahusia waumini kuacha starehe na badala yake fedha wanazo tumia anasa wanunue vitabu vya mwenyezi Mungu ikiwemo Bibilia Takatifu

waumini wa dhebu la kiluteli wakiwa katika ibada ya Pasaka katika Manspaa ya Songea

Wachungaji wa dhehebu la dini ya kiruteli wakiendesha misa ya Pasaka katika manispaa ya Songea
No comments:
Post a Comment