Meneja wa shule ya Secondari ya Beroya Sebasitian Waryuba akiwaasa walio hitimu wa kidato cha sita kuwa mara wamalizapo masomo waachane na mambo ya anasa wa mkumbuke mungu mara zote
Afisa Elimu secondari Manspaa ya Songea amewataka wahitimu wa kidato cha sita kuzingatia Masomo baadala ya kujiingiza katika anasa
pia kuepuka na mambo ya kisiasa mda huo bado Mwalimu Mkuu wa Secondari ya Beroya Matiko amewapongeza wazazi kwa juhudi wanazo zionyesha katika ushirikiano na Uongozi wa Beroya Secondari
Mwenyekiti wa Bodi Michael Mahecha amesema juhudi katika masomo ndiyo mshahara wa mwanafunzi siku za baadaye, kudharau masomo ni moja ya kuyaweka maisha yako hapo badaye katika matatizo
wahitimu wa kidato cha sita katika sekondari ya Beroya wakisikiliza nasaha mbalimbali za uongozi
wahitimu wakitafakali maisha baada ya kumaliza masomo ya kidato cha sita
No comments:
Post a Comment