KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Sunday, August 19, 2012
WAISLAMU WAASWA KUDUMISHA AMANI NA KUFUATA MAAMURISHO YA MWENYEZI MUNGU KWA KUTENDA MAMBO MEMA
sheikh mkuu wa Bakwata Mufiti Issa Bin Shaban Simba akitoka inje ya ukumbi baada ya Kuhutubia wananchi katika sherehe za siku ya Iddi iliyo fanyika Mkoani Ruvuma Dishi la TBC likiwa habarisha wa Tanzania shuguli zote zilizo Fanyika Mkoani Ruvuma katika sherehe za Sikukuu ya Iddi
Watalamu kutoka TBC Wakiwa kazinikuhakisha Picha zinazo pelekwa kwenye setilaiti zinawafikia watazamaji Vizuri hapo wapo Shule ya Wasichana Songea wakati wa Baraza la Iddi lililo fanyika songea Mkoani Ruvuma Pia TBC kupia njia ya Redio nao walikuwa kazini Hapo Mafundi mitambo wakisiliza usikivu wa TBC 1 Waumini wa wa Dini ya Kiislaamu wakiwa katika ukumbi wa Secondary ya Wasicha Songea kusikiliza ujumbe wa baraza la Iddi Kitaifa Waumini wanawake wakiskiliza mawadha ya siku ya Iddi katika ukumbiSekondari ya wawasicha Songea Umati wawatu ulio kuja kumlaki Mufiti wa Bakwata Issa bin Shabani Simba wakati alipowasili mkoani Ruvuma Maelufu ya Wanaruvuma wakiwa katika viwanja vya Mfaranyaki katika Masijidi Huda kushiriki sala ya iddi iliyo swaliwa Mkoani Ruvuma Mufiti Issa Bin Shabani Simba akitoka inje ya msikiti wa Masjidi huda baada ya swala ya Iddi iliyo swaliwa Songea Mkoani Ruvuma
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akitoa salamu za serikali amesema utulivu na amani katika Nchi ndiyo njia pekee ya kuifanya Serikali iweze kuleta Maendeleo kwa Wananchi wake.
Sheikh Mkuu Nchini Tanzania Mufti Issa Bin Shabani Simba amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuendeleza vitendo vyema ili vitendo hivyo viweze ni njia ya kuingia peponi.
Katika Misikiti mbalimbali Mkoani Ruvuma waumini wote kwa ujumla wameiombea Nchi yetu kuwa na Viongozi bora wenye kujali Watanzania na sio kujali Maslai yao.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akitoa salamu za serikali amesema utulivu na amani katika Nchi ndiyo njia pekee ya kuifanya Serikali iweze kuleta Maendeleo kwa Wananchi wake.
Sheikh wa dhehebu la Ahamadiya Mkoa wa Ruvuma Yusufu Kambaulaya amesema wanaruvuma tunatakiwa kumuombea Rais wetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete aendeleze amani kwa Nchi tunazopakana nazo, pia waumini wameomba waislamu washiriki Sensa ya watu na makazi.
No comments:
Post a Comment