Rais wa Mwangaza Foundation Flora Komba akiwa amezungukwa na watoto Yatima mara baada ya kuwasili kutoka Marekani anako ishi
Nyumba ya Mlemavu Agines Nyoni ikikarabatiwa kwa kushirikiana na Mwangaza Faundation na Kanisa la Woodvell Alaince kutoka Marekani
Afisa Mahusiano wa Mwangaza Foundation Katunda Saidi akieleza jinsi wanavyo fanya kazi ,amesma zaidi ya Shilingi milioni 700 zimetumika kwa miradi mbalimbali
Mkurugenzi wa Kanisa la Woodvell Alaince Hessel Matt akiwa ana mfariji Agines Nyoni ambaye ajawahi kutoka nje zaidi ya Miaka 8 hapo nimara ya kwanza kuliona jua kwa mika yote nane alikuwa ana kaa ndani tu am,efarijika kuona ana pewa nyumba
Mama Mlemavu Agines Nyoni Mkaazi wa Lizaboni Mnspaa ya Songea aliye jengewa nyumba na Shirika la Mwangaza Foundation likishirikiana na kanisa la Woodvell Alaince Kutoka Marekani nyumba nyenye Thamani ya Shilingi milioni 11,700,000/=
Mkurugenzi wa Wanafunzi wa Kanisa la Woodvell Alaince Kris Harrs akielezea jinsi mpango mzima utakavyo kuwa katika kambi ya Mwenge mshindo itavyo kuwa baada ya kukamilika
Ninjia moja wapo ya kufanya mazoezi kihistoria hakuna mtu hapa duniani anaye penda maji kama Mzungu Ona anavyo furahi kuona fedha zao zime tumika vizuri
Mwanafunzi kutoka Marekani akifurahia utokaji wa Maji
Kisima cha maji chenye urefu wamita 100 ambacho kimegharimu kiasi cha shilingi milioni 45 kwa ajili ya makaazi ya watoto
Eneo la mwenge mshindo lenye ukubwa wa ekari 25 linalo tarajiwa kujenga shule ,zahanati na makaazi ya watoto
Kikundi cha watu 19 kutoka kanisa la Woodvell Alaince wakikagua Eneo la Mwenge Mshindo ambako kuna Takiwa kujenga kambi la watoto wanao ishi katika mazingira Hatarishi ujenzi utakao gharimu fedha za kitanzania bilioni 3
Akina mama wa Kanisa la Woodvell Alainnce la Marekani wakibadirishana mawazo kuhusiana na watoto wanao ishi katika maisha hatarishi kupata njia za kuwa fundisha
No comments:
Post a Comment