Oliva Moto wa Star tv akiwa katika ukumbi wa RUCO akihudhuria semina ya watu na makaazi iliyo fanyika mkoani Iringa
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Crisitine Ishengoma amewataka waandishi wa habari kutumia taluma yao kuelimisha Jamii kuhusu sensa ya watu na makazi ili kulisaidia taifa kuweza kuleta maendeleo kwa kila mtu.
Semina ya sensa ya watu na Makazi kwa wandishi. imejumuisha mikoa ya nyanda za juu kusini ikiwemo mikoa ya Mbeya,Rukwa,Katavi ,Ruvuma,Lindi na Mtwara jumula ya wandishi 140 wameshiriki .
Washiriki wa semina kutoka mkoa wa Ruvuma wakisikiliza kwa makinikuhusu semina ya watu na makaazi mkoani ruvuma
Waandishi wa habari kutoka mikoa saba walio shiriki semina ya hiyo wamesema ili kufanikisha sensa ya watu na makaazi elimu ina takiwa itolewe zaidi kwa wanawake kwa kuwa ziko sehemu msemaji mkuu ni mwanaume asipo kuwepo mwanamke hawezi kusema lolote
Washiriki wa semina ya Sensa na Makazi ya Watu wakiwa katika ukumbi wa RUCO Mkoani Iringa
Waandishi wa Mkoa wa Iringa wakiwa wamepiga picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Iringa wakati wa semina ya sena na makazi ya watu
Wandishi wa Mkoa wa Lindi wakiwa wame piga picha ya Pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Irina Dr Crisitina Ishengoma
Wandishi wa Mkoa wa Mbeya wakiwa na Mkuu wa Mkoa katika Viwanja vya RUCO Mkoani Iringa anaye nyosha kidole ni Mwenyekiti wa Meya Press Club Cristofa Nyanyembe
No comments:
Post a Comment