Mgeni Rasimi katika kilele cha siku 16 za kulaani ukaliu wa kinjinsia wa mama na mtoto Alfred Kasoro OCD wa Kituo cha Police songea akihutubia akina mama, Amesema haki ina tafutwa kama mtu ana fuata haki, Amesma watu wengi hasa Wanawake hukiuka haki kwa kutupa wato ,kutoa mimbi pamoja na kutenda vitendo vinavyo wa nyima haki ni juu ya kila mwanamke kuhakikisha analinda haki na ana kuwa Mlinzi za haki ya Mama na Mtoto
Viongozi wa DMI Wakiongoza maandamo chini ya kiongozi wao Antony Joseph Mary wakiwa katika mtaa wa barbara ya SokoineSongea kuelekea ukumbi wa DMI
Wanachama wa DMI Songea wakiwa katika ukumbi wa DMI kusikiliza maswala ya kijamii sheria na ukali dhidi ya mama unao fanywa na Jamii
Maandamano yakiwa yame ingia katika barabara ya Delax 2 S ongeakuelekea ukumbi wa DMI
Viongozi wa DMI Songea wakiwa wame piga picha na watoa mada akiwemo mwana sheria Ndunguru,OCD Alfred Kasoro na Mganga Mfawidhi wa Wilaya ya Songea Daniel
Akina mama wa DMI Songea Wakiwa na Hamasa ya kupinga ukatili wa kijinsia wakiwa katika Mandamano wa kipaza sauti ya kulaani vitendo vya unyanyasaji
Mwonekano wa akina mama walio kusanyika ukumbi wa DMI Kulaani vitendo vya unynyasaji Mkoani Ruvuma hapo Kiongozi wa DMI Antony Joseph Mary akiendesha sala malumu kulani vitendo vya Unyanyasaji
No comments:
Post a Comment