Viongozi wakisiasa huwa kama Mshumaa unapo waka huangaza watu na kutoa Nuru lakini ukizima ndivyo unavyo kuwa kwenye mioyo ya watu hebu tutathinini ni mema mangapi ameya fanya Emanuel John Nchimbi na Mabaya mangapi kayafanya, Kumbikumbi akiona Taa hukimbilia kumbe ni mtege wa Binadamu jee kwa hili la Kiongozi Emanuel John Nchimbi Tuna semaje ?
HATIMA YA KIONGOZI SAWA NA MSHUMAA AU NGOMA ISIYO WAMBWA ONA WASIFU WA MH, EMANUEL JOHN NCHIMBI
In
office
7 May 2012 – 20 December 2013 |
|
President
|
|
In
office
28 November 2010 – 7 May 2012 |
|
President
|
|
In
office
13 February 2008 – 28 November 2010 |
|
Minister
|
|
In
office
17 October 2006 – 13 February 2008 |
|
In
office
6 January 2006 – 16 October 2006 |
|
Assumed
office
December 2005 |
|
Preceded by
|
|
Majority
|
27,582 (59.09%)
|
Personal
details
|
|
Born
|
24 December 1971 (age 41)
|
Nationality
|
|
Political party
|
|
Uchunguzi wa Habari za kuwa wafaa wananchi ni mhimu sana ,Hebu Tuone sasa tuna Maliza Mwaka yepi mazuri yaliyo fanywa na Wandishi wa Habari na Yepi mabovu yaliyo fanywa na Waandishi wa Habari. Tujitathini wenyewe tusipige katumba kuonyesha vidole kwa wenzetu Pale tulipo kosea tuji sahihishe na Pale tulipo fanya vizuri tuboreshe zaidi Bado siku chache za kumaliza Mwaka lakini lazima Waandishi Tujipange Hapo ni Mwandishi Mwandamizi Juma Nyumayo akiwa na Mkongwe wa Habari Adam Mzuza Nindi wakitathiminji mwaka 2013
No comments:
Post a Comment