Hapo baadhi ya wakaazi waishio mwambao wa ziwa nyasa wakiwa kandokando mwa ziwa Nyasa wakiburudika kwa vinywaji mbalimbali lakini hakuna Majumba ya fahali mbayo yanaweza kuwa vutia watalii ni juu ya kila mtu aliye zaliwa mwambao wa ziwa nyasa kuja kujenga nyumbani kwao badala ya kulowea katika miji ya wenzao .
Kama unavyo ona meli hiyo MV Songea inatokea Malawi ambako wenzetu wa Malawi wanalitumia vizuri Ziwa hili wamejenga vitega uchumi vingi lakini ona Meli yetu imetuwama kando kando mwa Ziwa Nyasa huku |
Swala nililelille hapa ni Dar es Salaam Mikwecheni katika Hoteli ya May Fair Hotel hivi ni vitega uchumi vilivyo jengwa na wazawa jee sisi huku Nyasa hatuwezi kujenga vitu kama hivi naomba watu wa Ruvuma tujaribu Kuthubutu tuta weza naweka picha hizo ili tuweke wivu wa kuthubutu
AICC ni moja ya kumbi ambazo kuna fanyika Mikutano ya kimataifa kutokana na ukaribu wa Nchi za Afirika Mashariki lakini Mkoa wa Ruvuma nao una Nchi jirani kama Musumbiji ,Malawi,Zimbabwe hata Boswana Endapo atatokea Mwekezaji kujenga Songea kumbi kama za AICC Zita kuwa na ubora na kuongeza uchumi wa Kusini
Kama kuna watu wana jua kuangalia Madhali una weza kuona jinsi Ziwa nyasa linavyo Vutia karibu mkoa wa Ruvuma uwekeze kuna vivutio vingi ,Milima ya Livingstone, Mawe ya Mbuji yanayo tumika kwa ibada ya kuomba mvua au majanga yakitokea, Pia kipo kisiwa ambacho kilitumika wakati wa vita vya kwanza na vita vya pili vya Dunia kisiwa hicho kilikuwa na uwezo wa kuhifahi watu 250 ni hicho kinacho onekana kwa mbali mkono wa kushoto
Mwandishi mwandamizi ndugu Ayoub Rioba akitoa mada jijini Arusha jinsi Vyombo vya habari vinavyo saidia kujenga nchi na kuiweka Nchi kuwa kiganjani,
Hapo ni Dar es Salaa jee sisi watu wa mwambao Tuta fikia hali hiyo ? Najua weazawa kwa changamoto hizi watafanya kitu
No comments:
Post a Comment