ADAMU NINDI – MBEYA
Mamulaka ya udhibiti wa chakula na dawa vipodozi na vifaa
vya tiba kwa muda wa miaka tatu wameweza kutekeza bidhaa mbovu zenye thamani ya
shilingi 4,828,571,204 [bilioni nne ,milioni mia nane ishirini na nane. laki
tano sabini na moja elufu na mia mbili na nne]
Meneja wa TFDA Kanda ya Mshariki Emanuel Alphonce ameya sema
hayo jijini Mbeya wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wandishi wa habari jinsi
ya kujua bidhaa mbovu pamoja na kuepuka kutangaza bidhaa ambazo zina weza kuwa
dhuru binadamu.
Meneja wa kanda ya mashariki akieleza dawa zilizo kamatwa na
kuteketezw ni pamoja na daw.a za maralia walizo zigushi kwa kutumia maandishi
ya Laifi badala ya Laefin pia dawa ya Ampicini capsles ya Gram 250 ambayo ndani
yake baada ya kuweka dawa halisi uliwekwa unga wa viazi vitamu
Akielezea dawa ni nyingine ni dawa ya Quinine saphate ambayo
badala ya kuwa na dawa kamili iliwekwa dawa ya Flagl ambayo kazi yake ni kuzuia
kuhara na siyo kutibu maralia,Akieleza kuhusu vipodozi amevitaja kuwa ni Caro
light ,dawa nyingine ni ya kuongeza maumbile ya Binadamu Hip lift up Massage
cream dawa zote hizi zina leta ugonjwa wa kansa ya ngozi ,
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya chakula na dawa Charys Ugullumu
Amewaomba Wandishi Wa Habari kutoa elimu ya kina kuhusu madhara yanayo weza
kutokea kwa kutumia bidhaa mbovu ,semina hiyo iliyo fanyika jijini mbeya ili
husisha waandishi wa habari kutoka nyanda za juu kusini kwa mikoa ya
Ruvuma.Mbeya,Rukwa na Katavi
Waandishi kutoka Mkoa wa Ruvuma wakisikiliza kwa Makini Mada zinazo husu maswala ya Dawa na Chakula yaliyo tolewa na TFDA Mamlaka ya Chakula na DawaWaandishi wa Habari wakiwa makini katika kufuatilia mafunzo yanayo tolewa kuhusu Matumizi halisi ya Dawa
Mwanasheria wa Mamlaka ya Chaklula na Dawa Askali Mkude akifikilia jinsi ya kuwakilisha mada ya Chakula na Madawa zinazo husu Matangazo ya Chakula na Dawa
Mgeni Rasimi katika ufunguzi wa Semina ya Sheria ya Chakula na Dawa kaimu RAS wa Mkoa wa Mbeya Leonald Magachi
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Charys Ugullumu akifungua Semina kwa Wandishi wa Habari na Wahariri wandamizi wa Vyombo mbalimbali vya nyanda za juu kusini kuhusu kujua sheria za Matangazo semina iliyo fanyika jijijni Mbeya
Waandishi kutoka Mkoa wa Ruvuma wakipiga picha na viongozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa wakiwa jijini Mbeya
Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mbeya nao wakiwa pamoja na viongozi waandamizi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa kutoka makao makuu jijini DSM
Waandishi wa habari wa Mkoa wa Iringa walio shiriki semina ya kuhusu na muna ya kutoa matangazo yanayo husu matangazo ya Chakula na Dawa
viongozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa wakiwa na wandishi wa Mkoa wa Katavi
Waandishi wa Habari kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika semina inayo husu Sheria ya Matangazo ya Chakula na Dawa
Waandishi wa habari kutoka mkoa wa Mbeya walio shiriki semina ya sheria za matangazo ya chakula na Dawa
No comments:
Post a Comment