RPC Kamanda wa POLICE wa Mkoa wa Ruvuma Akilimali Mpwapwa akieleza umuhumu wa Dawati la POLICE Wanake linavyo weza kusaidia jamii ikiwa na pamoja na kupunguza ukatili wa Kijinsia.Aidha wadau wa Dawati la Police wanawake wamemtaka kamanda kufungua huduma hiyo katika jengo hilo, Kamanda wa Police Akilimali Mpwapwa amesma jengo hilo lita anza kazi katika ya mwezi wa sita mwaka huu
Afande Fadhila Chacha akimkaribisha kamanda wa police Akilimali Mpwapwa tayari kwa kuzungumuza na wadau wa Dawati la Wanawake
Kamanda wa police mkoa wa Ruvuma la Akili Mali Mpwapwa akikagaua eneo la Dawati la Police Wanawake kutoka kushoto ni Anna Tembo kulia ni Denesi
Mfanyabiashara Issa Mwilamba kulia amejitolea kupaka Rangi jengo la Dawati la Police Wanawake
wadau mbalimbali waki kagua jengo la Dawati la Police wanawake Mkoa wa Ruvuma
Picha ya Pamoja na Wadau wa Dawati la Police Wanawanake wakiwa na kamanda wa Mkoa wa Ruvuma
Mdau wa Dawati la Police Wanawake Rose Haule akiwa mmoja wawachangiaji wa kubwa wa maendeleo Mkoani Ruvuma
Kamanda wa Police Akilimali Mpwapwa akiwa na wadau kuhamasisha mchango wa kununua samani kwa ajili ya kukamilisha vifaa vilivyo pungua katika ofisi hiyo
Meneja wa Benk ya NMB Mkoa wa Ruvuma Rehema Nasibu akiliomba jeshi la Police kuwa wasiri kwa tarifa wanazo pewa na wadau ili kulinda Hadhi ya Jeshi la Police
Kamanda wa Police Mkoani Ruvuma aliye katikati akisisitiza jamii kuisaidia Jeshi la Police Katika kutoa habari za Uhalifu
No comments:
Post a Comment