Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Songea Lutavi akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katika uzinduzi wa kuteketeza VVU NA UKIMWI kutoka kwenda kwa mama kwa aslimia 3% hadi kufikia asilimi O
Mgeni Rasimi Mkuu wa Mkoa Saidi Thabiti Mwambungu akipokea maelezo kutokkwa kiongozi wa Water Reed jinsi ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
Bango la kampeni ya kutokomeza maambukizi ya VVU na UKIMWI Kutoka kwa Mama kwendakwa Mtoto
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akizindua Mpango rasimi chini ya Water Reed wa kuhakikisha maambukizi mkoa wa Ruvuma yana kfikia sifuri au Yai
Mara baada ya Kuzinduzi akiwa ameshika kitabu chenye kuonyesha mpango mzima wa kupambana na VVU na UKIMWI Mkoani Ruvuma
Mkuu wa Wilaya ya Songea David Lutavi akimsindikiza Mkuu wa Mkoa katika ukaguzi wa Mabanda ya Maonyesho ambayo yalishugulika kupimia maambukizi ya UKIMWI NA VVU
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma kushoto Dr, Daniel Malekela akimwongoza Mkuu wa Mkoa Wa Ruvuma katika Manda
Jambo ambalo lina shangaza katika Mkoa wa Ruvuma ni Mahuba kujaa Taka kuliko kiwango chake Hapo awali ilikuwa ukosefu wa Gari za Kuzolea lakini hivi sasa magari yapo ,Hizo taka zimezunguka Eneo lote la soko la Manzese Mjini Songea
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabit Mwambungu katika Uzinduzi wa Kutokomeza Maambukizi ya UKIMWI na VVU Alidai katika Hotuba yake uwezo wa kuzoa Taka Tunao hivyo swala la Taka Tusahau lakini hiyo ni hali halisi Toka alipo Hutubia Uma siku mbili Zilizo pita
Kila Pembe ya Mazense ukipita Aidha uta pata manukato ya Harufu ya Uchafu au uta kumbana na Hali ya Kutapika kutokana na Uozo uliopo nini kifanyike wakati binadamu hawana njia nyingine ni kuvumilia kufanya biashara huku wakipata Madhara ona mwenyewe ni sikusemee
Maandamano ya ya kutokopmeza Maambukiki wakati hapo juu nako kuna takiwa kufanya maandamano ya kuzoa taka ,Viongozi wamejitahidi kuleta Magari nani alaumiwe |
Dakitari wa Mkoa wa Ruvuma Dr, Daniel Malekela ana enda kasi na Asikari wa Mwavuli wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Ukimwona Mama au kuongozi Mwanmke mara nyingi hukerwa na Mambo yanayo jitokeza ya kuweza kupambana na Maradhi lakini kwa utafiti wa Haraka wanawake wana shindwa kufanya kazi kutokana na Mfumo Dume
Katibu Msaadizi wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Tossi akitia sahihi kitabu cha wageni kuthibitisha kuwa naye atashiriki kutokomeza Maambukizi ya VVU na UKIMWI Mkoa wa Ruvuma
Washiriki katika Kampeni ya Kutokomeza Maambukizi Kutoka kwa Mama kwenda Kwa Mtoto wakiwa wamevaa sare iliyo andikwa ZERO yani Mwisho wa Maambukizi
Watendaji waandamizi wa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma nao wali shiriki Uzinduzi Huo ulio fanyika viwanja vya Manspaa ya Songea
Watoto wa Shule za Msingi wakisikiliza kwa Makini kuhusu maambukizi yalivyo Mkoa wa Ruvuma na jinsi ya kuepukana nayo
Mkoa wa Ruvuma kimaambukizi una jitahidi kupunguza kimkoa ni asilima 6.5 na Kitaifa ni asilimia 7%
Watu mbali mbali walishiriki uzinduzi huo jee ujumbe walio upata utafikishwa kwa wengine au uta ishia hapo hapo ni swali la kujiuliza
unapo tembea una jua kifo kipo karibu kama huta weza kutumia kanuni za kujilinda kila hatua unayo piga angalia jinsi ya kuepukana na maambukizi
Watoto hawa wana hitaji ulinzi wa kutosha ni kosa la jinai kwa duniani hata kwa Mungu kumlazimisha ngono mtoto mdogo hatimaye kumwachisha masomo, Watoto semeni HATU DANGANYI N'GOOOOO
Hawa hapa ni viongozi waandamizi katika utendaji wa kila siku kuhusu Afya za Binadamu jee wanapewa vitendea kazi kamili ili usiwe wimbo kuwa tuna Angamiza VVU na UKIMWI wakati hawana Vitendea kazi jamani tuwa saidie
No comments:
Post a Comment