Wadau wa Police Wanawake Mkoa waruvuma wakijadili jinsi jengo hilo linavyo shindwa kutumika kutokana na kukosa fenicha za ndani kuto timia, wajumbe kwa pamoja wameazimia kuchanga kiasi cha shilingi milioni 11 kwa ajili ya kumaliza kazi hiyo
Wadau wa police Wanawake wakipata vivyaji huku wakiendelea kutoa mawazo jinsi ya kutokomeza ukandamizaji dhidi ya wanawake na watoto
Jengo la Police wanawake Mkoa wa Ruvuma ambalo mpaka sasa limeweza kug'arimu kiasi cha shilingi milioni 32
Wadau wa Police Wanawake wakiwa nje ya jengo la police wanawake kuhakikisha jengo hilo lina tumika kabla ya Mwezi wa saba Mwaka 2014
Sta f one wa Jeshi la Police akitoa Maelekezo kuhusu jinsi jeshi la Police lilivyo unga mkono katika jengo hilo
Mwenyekiti wa Uhamasishaji wa Jengo la Police Wanawake Adam Mzuza Nindi aliye vaa suti na kashika Notbook Mkononi akielezea michango iliyo tolewa ilivyo fanya kazi hadi kufikia hapo
Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Police Wanawake Fadhila Chacha aliye vaa sare za Jeshi la Police akieleza jinsi anavyo pambana na vitendo viovu dhidi ya Mama na Mtoto Mkoani Ruvuma
No comments:
Post a Comment