KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, May 10, 2014

MIUNDO MBINU YA BARABARA YANAHITAJI KUIMARISHWA HASA BARABARA ZILIZO CHINI YA SEREKALI KUU

 Moja ya mambo yanayo weza kusifiwa toka Tanzania ipate uhuru na Mungano ni kuimarisha miundo mbinu ya barabara, Barabara nyingi zime tengenezwa lakini zina kosa vitu vinavyo weza kuzifanya babara hizo kuwa imara. Vitu hihivyo ni Mifereji ya Uhakika, Kukosa Makalaveti, Pia kulala kwa watu wanao angalia barabara hizo nikiwa na maana ya TAN ROAD ,Ukiangalia sehemu hii ya Ruvu utaona kipande kirefu hakina mifereji jambo linalo sababisha maji kutuama muda wote
 Angalia kwa makini hata kama wewe simkandarasi lakini bado uta ona kuwa kuna vitu vimekosekana, ushirikiano wa nchi jirani za Malawi.Msumbiji,Zaire Hata Afica kusini barabara hi9i ikijifunga tunawaumiza wananchi wa nchi hizi nilazima tujipange badala ya kusifia kitu kilicho tayari kina bidi kukiboresha
 Magari yenye uzito Mkubwa nayo ndiyo chazo cha uharibifu wa barabara ziko mizani hapa tanzania hazifanyi kazi inapata sasa mwaka mzima lakini wafanyakazi wana pokea mishahara ni bora nalo hilo tuliangalie ili tuweze kuwa okoa watanzania,
 Mwakembe amekuwa mkombozi kwa jiji la Dar - es - salaam baada ya kuweka barabara ya reli Mwakembe anatakiwa kuungwa mkono ili foleni za usafiri Dar es salaam ziweze kupungua, kutoka ubungo hadi Kariakoo ni mashauri, Hiyo ina tokana na mindo mbinu isiyo ridhisha
 Eneo hili ni la Kitonga ingawa miti ni mingi lakini kasi ya kukata miti na kuchoma mkaa ni kubwa mno jambo hili likiendelea lita leta mumonyoko wa Barabara
 Ukiangalia kwenye kioo uta kuta kuna Gari lime pinduka chanzo ni ujazaji mizigo kupita kiasi hapo abiria waliopo kwenye basi la Super Fello wakishuhudia ajali hiyo
Huwezi kuamini kuwa haha ni kituo kikubwa cha mabasi wewe ukijiweka kuwa msafi na viato vyako ukifika hapa itakubidi kuogelea kama unavyo waona abiria wakihangaika sehemu ya kukanyaga, Wahusika wanatakiwa kuangalia jambo hili

No comments:

Post a Comment