Mauaji ya Wazee
katika Maeneo mbalimbali yanatokana na Serikali kutotunga Sheria ambayo ita
walinda Wazee, katika kuishi kwakuweka kinga ya usalama wao.
Mauaji ya Wazee
katika Maeneo mbalimbali yanatokana na Serikali kutotunga Sheria ambayo ita
walinda Wazee, katika kuishi kwakuweka kinga ya usalama wao.
Mkurugenzi wa Shirika
linalohudumia wazee la PAD Issaka Msigwa, amesema katika Nchi 96, Tanzania imeonyesha
kushika nafasi ya Nne kutoka
mwisho kwa hali hatarishi ya Maisha ya Wazee, hiyo inatokana na Jamii
kutoshirikishwa katika kulinda Maisha ya Wazee.
Mkurugenzi wa Shirika
linalohudumia wazee la PAD Issaka Msigwa
amesema Shirika la Kimataifa la Help Age Duniani katika utafiti wake umeonyesha ukatili
kwa Wazee kwa, mauaji na vitendo vingine vya unyanyasaji Tanzania inachukua
nafasi ya 92 katika Nchi 96, mwaka 2013 ilikuwa ya mwisho katika Nchi 96.
Umati katika Sherehe za Wazee Duniani Mkoani Ruvuma
Wazee wanawake walio hudhuria sherehe za Wazee Duniani zilizo fanyika katika viwanja vya H/ya Songea
Wananchi walio hudhulia katika sherehe za wazee Duniani zilizo fadhiliwa na shirika lisilo la kiserekari la PAD la Mkoa wa Ruvuma
Orodha ya Nchi mbalimbali zinavyo weza kuhudumia Wazee
Viongozi wa Dini wa Madhehebu ya Kikristo na Kiislamu
wamemuaomba Mwenyezi Mungu kulinda Tanzania katika Uchaguzi Mkuu
utakaofanyika Okatoba mwaka huu.
Wazee wakilisakata Rumba kukumbuka Enzi za ujana wao
Wageni walikwa kwenye sherehe za Wazee DFuniani
Dr Ngaiza akiwa kwenye viwanja vya Manspaa ya Songea kushiriki Siku ya Wazee Duniani
Nao Viongozi wa Vyama vya Siasa wamesema endapo wataingia
Madarakani watahakikisha hali za wazee zinazingatiwa ikiwa ni pamoja na kutunga
Sheria ya Wazee pamoja na kuimarisha Uchumi wa Wazee.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Sofia Hasara akiwa kwenye Sherehe Za wazee
Wazee walio shiriki siku ya wazee duniani AQnna Tembo Afisa Upelelezi wilaya ya Songea Akisalimia Wazee
Nao Viongozi wa Vyama vya Siasa wamesema endapo wataingia
Madarakani watahakikisha hali za wazee zinazingatiwa ikiwa ni pamoja na kutunga
Sheria ya Wazee pamoja na kuimarisha Uchumi wa Wazee.
Katibu wa wazee aqliye vaa suti ya Blue Daudi Mpangala akijiandaa kusoma Risala
Orodha hii ina onyesha jinsi Tanzani inavyo shika nafasi ya 91 katika nchi 96 katika kuwa hudumia wazee
Akina mama wa Manspaa ya Songea Wakiwa wana sikiliza Jinsi viongozi mbalimbali wanavyo ahidi kuwa tumikia Wazee
Mwandishi wa Fikira Pevu Judith Lugoye akiwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Songea Gama kupitia Chama cha Mapinduzi
No comments:
Post a Comment