Wandishi wakisikiliza kwa makini hoja zinazo tolewa kuhusu unyanyaswaji waq wazee katika mikoa mbalimbali ya Tanzania
Mkurugenzi Msaidizi wa shirika la Help Age InternationalSmart Daniel akifungua mkutano waandishi wa Habari kutoka mikoa mbali mbali nchini Tanzania ,kujadili jinsi ya kuweza kuokoa maisha ya Wazee katika hali tete inayo wa kabili kwa Mwaka 2012 na 2013 mauaji ya wazee kwa imani za kishirikina yalikuwa 630 na 765 wengi wao wakiwa wazee wanawake
Jopo la waandishi wa habari kutoka Tanzania Bara na kisiwani wakisikiliza maada mbambali zilizokuwazina tolewa ukumbi wa ubungo plaza jijini Dar -es -salaam
Mambo mhimu yanayojadiliwa katika mkutano wawaandishi wa habari ni pamoja na kuangalia hali tete inayo wakuta wazee walemavu. hapo mzee mlemavu akitumia baikeli kwa kuweza kurahisisha katika kutembea
Joseph Mbasha meneja mradi wa shirika la HelpAge akiwakilisha mada kuhusu wazee wanavyo kabiliwa na matatizo mbambali hiyo yote ina tokana na kuto pitisha sera ya wazee ambayo toka mwaka 2003 haijulikani hatima yake kutokana na hilo wazee bado wapo hatarini kwa kipindi cha miezi sita kwa mwaka 2014 jumula ya wazee 320 waliuwawqa kwa imani za kishirikina
Waandishi wa habari wakiwa kazini kuchukua hutuba ya kaimu msaidizi wa HelpAge Smart Daniel akieleza kuhusu vifo vilivyo tokea toka mwaka 2013 mpaka 2014 zaidi ya wazee 2896 wamepoteza maisha kwa kukosa huduma mhimu ikiwemo na vifo vinavyo tokana na kudhaniwa kuwa ni Wachawi
Waandishi wa habari wakiwa na wadau mbalimbali wanao hudumia wazee
wandishi wa Habari
Edita Karo mwandishi wa Mtanzania akiingia ukumbi wa Ubungo Plaza
Mwandishi wa habari Wilison Elisha akiwa anatuma habari StarTv
Kaimu Msaidizi wa HelpAge Smart Daniel akitoa msisitizo jinsi Waandishi wanavyo takiwa kukabiliana na mauaji ya wazee yanayo tokea kutokana na imani za ushirikina |
No comments:
Post a Comment