Afisa mipango wilaya ya Nyasa Wiliam Kavindi akielezea jinsi ya viwanja vya uwekezaji katika wilaya ya nyasa na kukosa wawekezaji wa ndani ikiwa maana ya wazawa huku wakijitokeza watu mbalimbali.akiongea kwa niaba ya mkurugenzi wa nyasa Jabir Shekimweri amesema kuna viwanja vingi vina hitaji watu wa kujenga
Moja ya wawekezaji wameweza kujenga nyumba kama hizo mwambao wa ziwa nyasa unazo ziuona wewe una ngoja nini kuwekeza
Nyasa kuna sitarehe kama unavyo mwona huyu dada jinsi alivyo kaa akipunga upepo wa ziwa nyasa jee mwenzangu una ngoja nini kufanya ziara katika wilaya ya nyasa hasa mwambao wa ziwa nyasa
Dada luce kutoka mwambao wa ziwa nyasa kutoka mkali akieleza faida ya kukaa katika mwambao wa ziwa nyasa alianisha faida kwanza kuwa mjasilia mali wa kuuza samaki na dagaa jaribu kutembelea ili ujikwamue kiuchumi
Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya nyasa ukifika hapo uta pata mwongozo wa kuweza kupata kiwanja
Baadhi ya wadau wa ndani wakikagua maeneo ya ufukwe tayari kwa kuwekeza kama ilivyo ada uwekezaji katika fukwe huanzia mita mia moja
ukifika katika ufukwe huu wa ziwa nyasa eneo la mtipwili utaona mchanga mororo ulivyo pendeza
Nyuma ya hao waqwekezaji unaona jinsi ziwa nyasa linavyo vutia na wewe nenda ili ufaidi uhondo wa ziwa nyasa
hapo ni eneo la chiulu ambapo nako kuna vivutio vikubwa vya kuweza kuvutia utambarare na hali ya hewa nzuri
Afisa mipango wa halimshayri ya wilaya ya nyasa akiwa onyesha wawekezaji maeneo mbambali
Hapo mkurugenzi wa Blog ya Songea habari Adam Mzuza Nindi akiwa katika moja ya holeli mashuhuri akinywa uji wa ulezi ulio changanywa na maziwa ya mgando mkate ukiwa samaki aina ya mbufu
No comments:
Post a Comment