Kilimo cha Nyanya hudharaulika lakini wenyeji wa m ina tegemea utulivu wa ubongo wako ukoje kuhusu mimeakoa wa Iringa na Njombe wao ni watalamu wa kujua faida ya Nyanya .Garama ya ulimaji na matunzo ya Nyanya
Unaweza kuona jinsi nyanya zinavyo weza kuzaa wewe kazi yako kubwa ni kuwa na maji ya kutosha dawa za za wadudu pia kuzingatia udongo unao panda bila kukosa mbolea ya samadi au mbolea kutoka kampuni ya YARA
Unapo nunua Mbegu za kupanda angalia neno ambalo limeandikwa SYNG'ETA Mbegu hizi mche mmoja huzaa nyanya 150 hebu fikili ukiwa na Eka moja utapata kiasi gani cha msingi ni kuchangamukia kilimo hicho ili utokane na umasikini
No comments:
Post a Comment