Wazeeb wakiwa wame kaa kwenye fomu kungo zamu ya kumwona Dakitari kupima kisukari
Hili ni bango la wafadhili walio fadhili upimwaji wa wazee kamaDA Kutoka kenye na Shirika la PADI Linalo shugulikia Wazee Nchini Tanzaniama linavyo someka ni Age Demands Action is a Help Age Global Network Campaign.
Mkurugenzi wa PADI Issaca Msigwa akiongea na waandishi wa Habari kuhusu swala zima la siku ya kisukari duniani amesema magonjwa nyemelezi yanayo waathiri wazee ni pamoja na kisukari
Wazee wanaotakiwa ni wengi cha muhimu ni kupitisha elimu kwa wadau mbalimbali ili mzee ajue faida ya kupima Afya yake ingawa muda wa kufanya hivyo ni mdogo kutokana na mzigo anaotwishwa wa kulea wajukuu
Hapo akina mama wakiwa wamejipanga foleni toka asubuhi na kusema hawaondoki mpaka wajue Afya zao
Unaweza kuona foleni ilivyokuwa kubwa huo ni mwitikio mzuri kwa wazee kujitokeza kujua Afya zao |
Mama hapo baada ya kupima kisukari sasa ana pima BP Ili kujua map[igo ya Moyo
Mganga Mfawidhi Dr Exsavery Malekela wa Zahanati ya Misheni inayo milikiwa na Masisita wa ST Benedict iliyoko Matogoro Manispaa ya Songea akiendelea kupima wazee .
Kabla ya kuwa pima wagonjwa Mganga Mfawidhi Dr. Xsavery Malekela hutoa Nasaha ili kuwa weka sawa wagonjwa
Wahudumu wa Afya ya Msingi wamekuwa watu ambao wako mstari wa Mbele kuwahudumia Wagonjwa kama unavyo waona hapo
Moja ya Harakati ya Kumpima kila Mgonjwa aliye kuja kupima bila kubagua kutokana na hali zao
Mganga Mfawidhi Xsavery Malekela wa Zahanati ya St Benedict ni kawaida yake kwanza kabla hajaingia kutoa Nasaha za kuwaweka sawa mgonjwa
Mhudumu wa Afya ya Msingi kwanza kabisa kabla ya kutoa huduma huchukua historia ya Maisha yake ili kujua ni kwa nini BP imepanda
Mzee kutoka Matogoro ambaye amekuwa na kawaida ya kujua Afya yake amesema kila baada ya Miezi mitatu huja kutaka kujua Afya yake
UPIMAJI WA KISUKARI
Waganga walichukua siku mzima kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa kumi na mbili na nusu walipo maliza zoezi la upimaji wa kisukari ati ya wazee walio pimwa asilimia 20% walipatikana na kisukari
Mara baada ya kupimwa hutolewa darasa la kuwa fanya wale walio onekana hawana kisukali wafanyeje na walio patikana na kisukari nao wajilinde vipi
Wasee wakibadilishana mawazo baada ya kupimwa kisukari
Mwalimu kutoka Chuo cha walimu Matogoro akijisogeza kutaka kujua hali yake
Mhudumu wa Afya ya Msingi akimupima Mzee kisukari amesema Changamoto anazo kutana nazo anapo kwenda majumbani kutoa huduma hiyo ni kudhani wana beba chakula kwa ajili ya wazee, hiyo ni changamito kubwa unayo tokea mara kwa mara
No comments:
Post a Comment