WAKULIMA MKOA WA RUVUMA WAMESHAURIWA
NA WAKALA WA VIPIMO KUTUMIA MIZANI ZILIZO KAGULIWA NA SEREKALI ILI KUEPUKA CHANGA MOTO
ZA KUUIBIWA MAZAO YAO
Meneja wa
vipimo mkoa wa Ruvuma Hasani Halletu
amewaomba wakulima pale wanapo ona mfanya bishara au mtu yeyote ana tumia mzani
usio kaguliwa watoe tarifa mara moja
Watalalamu
hao wa vipimo wamesema njia ya kugundua kama mizani ni salama ni kuangalia
tarehe ya kukaGuliwa na kuona kama mizani ina cheza vizuri alama za kukaguliwa
ni Mhuri wa mwaka ilipo kaguliwa na nembo ya serekari inayo gongwa.
Wakulima wa wilaya ya Tunuru wametakiwa kuwa makini wanapo kwenda kuuza mazao yao kwa kuhakikisha Mizani ziko salama hazina ubovu Kauli hiyo imetolewa na mawakala wa vipimo kutoka Dar es alaam wa kishirikiaani ni salamana na mawakala wa vipimo kutoka mkoa wa Ruvuma walipo kuwa wakikagua mizani zinazo tumika kupimia mazao ya wakulima na kubaini kati ya mizani 5 zilizo pimwa tatu ni mbovu
Nao wakuliwa
wawilaya ya Tunduru wakionyesha elimu ilivyo waingia walieleza jinsi somo la
mizani lilivyo waingia kwa kufafanua
kama ifuatavyo
Wakulima wakionyesha jinsi ya kuweza kutumia Mizani na pia kujua kama wanaweza kuuza mazao yao kwenye mizani mbovu
No comments:
Post a Comment