Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Arusha Mh. Askofu Josphat Lebulu akijiandaa tayari kwa kubariki kiwanda amewapongeza Mmasista kwa kuibua mradi ambao utapunguza hadha ya kutafuta masoko ya mazao.
Kiwanda cha Masista wa Chipole kwa sasa kinafungasha unga katika Ujazo wa mifuko ya Kilogramu 5, kilogramu 10 na kilo 25. Pia wananchi huleta mahindi yao kiwandani na kuuza kwa bei ya Serikali.
Mradi wa Kiwanda cha kusindika Nafaka cha Chipole kina uwezo wa kusaga Tani 1500 kwa mwezi jambo litakalosaidia kuondoa changamoto ya Soko la Mahindi Mkoani Ruvuma
Mwenyekiti
wa Bodi ya Kiwanda cha kusindika Mahindi cha chipole Altemius Millinga amesema kutokana na Mradi wa Umeme
wa Tulila Chipole kutoa Umeme mwingi
imebidi kuongeza Mradi ambao utainua
uchumi cha wananchi wa vijiji vinavyozunguka eneo la Mradi kwa kuweka
kiwanda cha kusindika unga wa mahindi
Masista wa Mtakatifu Agness wa Chipole wamesema Shirika lao kila wakati linatafuta njia za kuongeza Fursa kwa wananchi wa vijiji vinavyozunguka Shirika hilo ilik kuwaondolea changamoto ya kukosa Masoko ya Mazao wanayozalisha katika kudumisha ujiani mwema na udugu. Pichani ni Mama Mkubwa wa Shirika Sr. Maria Florida Chingu (OSB)
Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Arusha Mhashamu Askofu Josphat Lebulu aliyekuwa mgeni Rasmi katika Jubilei ya Miaka 75 ya kuanzishwa kwa shirika la Masista wa Chipole akibariki na kuzindua Kiwanda cha Sembe cha Masista wa Chipole Songea Vijijini.
Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo
Kaoliki la Arusha Askofu Josphat Lebulu amewapongeza watawa wa Kike
Masista wa Mtakatifu Agness Chipole kwa kubuni Mradi wa Usndikaji wa
Nafaka za Mahindi kwa kuweka kiwanda chenye uwezo wa kusindika Tani 50 za Unga
wa Sembe kwa siku.
Ghala la kjisasa ambalo lime jengwa katika kiwanda cha kusindika unga katika shilika la watawa wa Mtakatifu Agines Chipole
Haya ni mantank ya kuhifadhi mahindi kabla la kuanza kukobolewa
Haya ni maghala ya dharura ambayo yalijengwa wakati wa ujenzi wa kiwanda
Ghala jipya ambalo lime jengwa kwa ajili ya kuweka unga ulio sagwa
Ghala likionekana kwa upande mbelekiwanda cha kusaga nafaka kinavyo onekana kwa mbali
Mradi wa Kiwanda cha kusindika Nafaka cha Chipole kina uwezo wa kusaga Tani 1500 kwa mwezi jambo litgakalosaidia kuondoa changamoto ya Soko la Mahindi Mkoa wa Ruvuma, mkoa wa Ruvuma huzalisha tani milioni 1.4 na shilika la hifadhi la chakula mwaka jana lilinunua tani 15 ,000 na mahindi yanayo babi mkulima hulazimika kutafuta soko na kuuza mahindi kwa hasara ya kilo kwa shilingi 150
Huu nimwonekano wa kiwanda cha kusaga unga katika eneo la chipole Songea Vijijini
Mashine ya kusaga unga ina vipere vingi hadi unga unapo toka hicho ni kinu cha kusagia
Mashine ya kusaga unga ina vipere vingi hadi unga unapo toka hicho ni kinu cha kusagia |
Mashine ya ya kusaga unga ambayo ina jiendesha ki Automatic
kinu cha mashine cha kupokea mahindi yaliyo kobolewa tayari kwa kupelekwa juu ili ya sagwe
Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo la
Arusha Josphat Lebulu ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kiwanda cha
kusindika Sembe, amesema kazi ya Kanisa ni kubuni Miradi ambayo inawanufaisha
wananchi walio karibu na shirika la masista wa Chipole . Mradi wa Usindikaji
utaweza kuongeza Soko la Mahindi kwa Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha Josphat Lebulu
Mhashamu Askofu mkuu wa jimbo la Arusha Josphat Lebulu akiwasifu watawa wa Mtakatifu ASgines Chipole kwa kuweza kusogeza huduma mhimu ya upatikanaji wa kiwanda cha kusaga unga
Masista wa mtakatifu Agnes Chipole wakifurahia ufunguzi wa kiwanda hicho
Mhashamu Askofu mkuu wa jimbo la Arusha Josphat Lebulu akikagua kiwanda cha kusaga unga Chipole
Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cha kusaga unga Altemius Millinga akibadilisha mawazo na Mama mkubwa wa Chipole
Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cAltemius Millingaha kusindika unga Altemius Millinga akipeana mawazo ya kuongeza kiwanda kingine cha Mbinga ambacho kita kuwa na uwezo wa kusaga tani 100 kwa siku |
No comments:
Post a Comment