Mkuu wa Mkoa Dr Binilith Satano Mahenge akitia sahihi katika wilaya ya Namtumbo tayari kwa kukagua miradi ya Maendeleo ikiwemo machimbo ya Uranium One kwenye campuni ya Mantra
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akitoa maelekezo jinsi ya kutafuta miili ya waqtu 9 walio tumbukia katika mto Ruvuma
waokoaji wakiwa wana fanya kazi usiku na mchana chinh ya uongozi wa mkuu wa Mkoa Dr Binilith Satano Mahenge
Uongozi wa Mantra ambao una fanya utafiti wa Uchimbaji wa Uranium ukiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge kwenye eneo la mgodi Namtumbo
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge akifyatua Tofali kuonyesha njia kuwaq ndani ya miezi 4 kusiwe na Shule itakayo kosa Matundu ya Vyoo hapo yupo Madaba Songea Vijijini
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Binilith Satano Mahenge qalipo tembelea Mbugu Seruu alishuhudia Mafuvu ya Tembo ya kiwa Nyikani |
lienda mpaka kwenye Mifereji iliyo na Uranium
Mbeleyako ni Mti wa Mtetereka ambao ukizeeka hugeuka kuwa jiwe na Zaidi ni Mti ambao wazee wa Zamani walishauri usitumilke kwa kupikia kwa sababu mbalimbali za kibinadamu ukitaka maelezo zaidi ni pigie simu
Mkurugenzi wa Mantra akitoa maelezo kuhusu Uranium jinsi itakavyo ongeza uchumi wa Tanzani kwani izaweza kuongeza kipato kwa asilimia % 4
Mkuu wa Mkoa akiwa Namtumbo aliweza kutemelea kaya masikini jinsi wanavyo faidika na fedha hizo changamoto iliyo jitokeza ni kurudishwa kwa fedha pale wahusika wasipo fika
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amegiza kwa Viongozi wa Tasafu kuhakikisha hakuna fedha inayo Rudi
Mkuu wa Mkoa akiwa katika Makitaba ya Sekondari ya Seruluu ambayo ina hudumiwa na Mantra wa chimbaji wa Uranium Wilaya ya Namtumbo
No comments:
Post a Comment