Mradi wa Uboreshaji wa Taarifa za Mabadiliko ya Tabia
ya Nchi na mifumo Awali, imetumia shilingi bilioni 2.9 kwa ajili ya kufunga
Mitambo ya Hali ya Hewa Nchini Tanzania KATIKA VITUO 36.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera Bunge Ajira na watu wenye Ulemavu Jenista
Mhagama amesema katika Bara la Africa ni Nchi mbili pekee zimeweza kufunga
mitambo ya kisasa ya kukabiliana na Majanga ya Mabadiliko ya hali ya hewa nazo
ni Tanzania na Ephopia.
Mratibu wa kitaifa wa uboreshaji wa Hali ya Hewa Nchini Tanzania Alfei Daniel amesema mitambo hiyo ya Hali ya Hewa sasa imeunganishwa na simu kwa wakulima ili waweze kufaidika na matumizi ya Kilimo pamoja na kuepukana na Majanga mbalimbali, Naye Brigedia Jeneral Mbazi Msuya amesema Tanzania imesonga mbele katika kukabiliana na Majanga
Mh. Jenista amesema mitambo
hiyo kwa sasa iweze kufanya kazi zaidi kwa kutoa ELimu katika Sekondari kwa
kufundisha wanafunzi somo la Jiografia ili kuongeza ufahamu katika kukabiliana
na majanga mbalimbali.
Mitambo ya kujua Masuala ya
Hali ya Hewa imefungwa katika Vituo 36 kwa Tanzania na mzima na kusababisha
kuboresha taifa sahii kutoka asilimia 82% hadi kufikia asilimia87% waziri jenista amesema elimu ya kujua hali ya
hewa ina takiwa kila Halimashauri iwe na watu wanao toa tarifa
Brigedia Jeneral Mbazi Msuya akielezea mafanikio ya ufungaji wa Mitambo ya Hali ya hewa jinsi yanavyo waokoa wakulima ,Wakulima zaidi ya miambili wame pewa simu ili kwenda sambamba na utabiri wa hali ya hewa
mhandisi TMA David Chilambo akimwelezea Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera Bunge Ajira na watu wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagamajinsi mtambo huo wa hali ya hewa unavyo fanya kazi kwa haraka na kuweza kujua tatizo lolote likitokea linalo husu Majanga
Vijana wako tayari kupambana na majanga yanayo tokea kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa hapo Mhandisi David Chilambo akimweleza kwa makini Mh, Jenisa kuhusu mitambo inavyo fanya kazi mtambo mmoja hugharimu kiasi cha shilingi milioni 78 kwa fedha za kitanzania
No comments:
Post a Comment