KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
Friday, September 30, 2011
( Regional Education Officer of Lichinga Pailina Magagula who visite at Ruvuma Regional to be witness for Agrement between municipal of Lichinga and Manispaa of Songea for Development in Bussines and Education).[Picture by Adam Nindi]
MKATABA KATI YA LICHINGA MSUMBIJI NA MANSPAA YA SONGEA TANZANIA
MEYA WA MANSPAA YA LICHINGA MSUMBIJI ATEMBELEA MKOA WA RUVUMA
Tuesday, September 27, 2011
NAIBU MEYA MANSPAA SONGEA AKIELEZA MCHAKATO WA MAENDELEO
Sunday, September 25, 2011
WAZIRI WA HABARI AWATAKA WAANDISHI KUWA WAADILIFU
Dr Emanuel John Nchimbi amesema hayo baadaya vyombo vya habari nchini kuandika habari za uongo zikidai kuwa Mh. Dr Emanuel John Nchimbi alikimbia na sanduku lenye kura za matokeo ya udiwani katika uchaguguzi wakumtafuta Meya wa Mnspaa ya Songea baada ya aliye Meya wa Mwanzo Ally Saidi Manya kufariki 29/09/2011
Baada ya Uchaguzi kufanyika Chares Mhagama alipata kura 14 dhidi ya kura 12 zilizo mkataa baadaya ya matokeo kutangazwa na Meya kushika nafasi yake ndipo baadhi ya Madiwani walipo leta hoja ya kudai kuwa kura ziliibiwa . Dr Nchimbi amesema kila mtu alikuwa macho na kila kitu kilicho kuwa kikiendelea vipi kura ziibiwe . ,
Dr Emanuel John Nchimbi ameyataka Magazeti yaliyo andika habari hizo za uongo wakanushe habari hizo mara moja kwa kuandika ukurasa wa mbele. Ame ya taka Magazeti ya Majira, Mwanachi na Tanzania Daima kukanusha habari walizo zichapisha mara moja
Mh.Dr Nchimbi amewataka waandishi kutenda haki kama wana weza kumsingizia Waziri wa habari mwenye dhamana katika widhara walioko waandishi jee Mwananchi wa kawaida wana weza kumtendea haki.
kazi kubwa ya waandishi ni kuamusha chachu ya maendeleo katika maeneo waliyoko nasiyo kuandika habari za uongo zenye lengo la kufedhehesha viongozi wao ,
Dr Emanuel John Nchimbi amesema wandishi wa habari wa mkoa wa Ruvuma wanatakiwa wawe mfano wa uandishi wengine Nchini kwa kuandika habari zenye kujenga na kuonyesha njia ya kuya fikia maendeleo .
waziri wahabari Dr Emanuel John Nchimbi amesema Rais ameutunukia mkoa wa Ruvuma Kuwa na Waziri kutokana na Mchango Mzuri wanao ufanya wana Ruvuma katika kuleta Maendeleo ni juu ya waandishi kulinda heshima hiyo kwa kuandika habari Mzuri .
WAZIRI WA HABARI NA MEYA WA MANSPAA YA SONGEA
MKURUGENZI WA MANSPAA YA SONGEA
WAZIRI WA HABARI DR. EMANUEL NCHIMBI NA WANDISHI SONGEA
Waziri wa Habar utamaduni michezo na vijana Mh.Emanuel John Nchimbi akiwa na waandishi wa habari mkoa wa ruvuma wakati alipo ita kikao cha pamoja kutoa Tarifa juu ya kupotosha hali kamili ya uchaguzi wa meya wa manspaa ya songea, Pichani Juu ni baada ya kikao cha Wndishi na Mh. Wazaairi waHabari
Thursday, September 22, 2011
MKUU WA MKOA WA IRINGA APATA BARAKA ZA WAISLAM RUVUMA
Tuesday, September 20, 2011
WATOTO YATIMA CHIPOLE SONGEA VIJIJINI WAOMBA MSAADA
Sunday, September 18, 2011
Saturday, September 17, 2011
TACOSODE MKOMBOZI WAWANYONGE
WANA RUVUMA WAMKUMBUKA DR CRISTINA ISHENGOMA
Friday, September 16, 2011
MASHOGA WAJA JUU KUDAI HAKI ZAO ZA MSINGI
Dakitari aliye zua kizaa zaa baada ya kusema hadharani kuwa biashara ya kutembea kati ya mwanamue na mwaname ni kinyume na haki kiaafya
Otilia Paulinus
Na Otilia Paulinus
VURUGU kubwa zimetokea jana katika Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP) baada ya mtaalamu wa masuala ya afya Gerald Samuel kuchangia maadhimio ya nini kifanyike juu ya wanaume na wanawake wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile na kutoa ushauri wa vijana hao mashoga kuacha mara moja biashara hiyo.
Tukio hilo ambalo liliwashangaza wengi walio hudhuria tamasha hilo kutoka ndani na hata nje ya nchi lilitokea majira ya saa 10 jioni katika viwanja vya TGNP Mabibo Dar es Salaam wakati wanaharakati hao wakitoa tathimini nini kifanyike baada ya tamasha ikiwa nchi inaelekea miaka 50 ya uhuru huku wanaume na wanawake wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile wakizidi kushamili.
Kutokana na ushauri na mchango wa mtaaluma huyo kwa wanaharakati hao kutaka wasaidie kupiga vita vitendo vya ushoga na vile vya wanawake kufanya mapenzi kinyume na maumbile ndipo kundi la mashoga walipo taka kumvamia na kutaka kumpiga kwa madai kuwa wao wanahaki ya kuwa mashoga.
Baada ya mtaalma huyo kutoka jukwaani ndipo watu hao walipoamua kumfukuza kwa lengo la kutaka kumpiga kabla ya kujisaidia mwenyewe kwa kutimua mbio na kuokolewa na wanaharakati hao na kufichwa katika chumba kimojawapo cha ofisi za TGNP Mabibo. Mashoga hao walisema kuwa wamelazimika kutaka kumshughulikia mwanaharakati huyo mtaalma wa afya za binadamu baada ya kuona ushauri wake ukilenga kuwavurugia biashara yao na kwenda kinyume na malengo ya tamasha hilo ambalo lilikuwa likizungumzia haki na usawa kwa wote.
Walisema kuwa wameshangazwa na mtaalma huyo ambaye ni mwanaharakati badala ya kuwasaidia kuwatetea wanaharakati wenzake ili kuona hakuna mwanaharakati anayebaguliwa yeye anatumia jukwaa hilo la haki na usawa katika kuwabagua binadamu wengine.
Akizungumzia sakata hilo mtaalma huyo alisema kuwa tukio hilo ni sehemu ya changamoto mbali mbali ambazo wanaharakati wanaweza kuzipata katika kufanya harakati mbali mbali za kiukombozi na kuwa pamoja na mashoga hao kutaka kumpiga ila bado kitendo cha mwanaume ama mwanamke kufanya mapenzi kinyume na maumbile si sahihi na ni hatari kwa afya yake.
Pia alisema kuwa mashoga wapo hatarini kuathirika kisaikolojia kutokana na kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kuongeza kuwa wakati wowote wanaweza kufa kwa ugonjwa wa UKIMWI.
Hata hivyo baadhi ya wanaharakati wameungana na mtaalam huyo kupinga kwa nguvu zote biashara ya ushoga nchini na kuwa pamoja na kuwepo kwa haki na usawa ila hakuna haki ya watanzania kuona vijana wakiendelea kuteseka ama kupoteza maisha kwa kufanya mapenzi kiyume na maumbile .
Hivyo walitaka pamoja na kuwa na katiba mpya ila bado watanzania wanapaswa kuwa makini juu ya nini kiingizwe katika katiba hiyo vinginevyo iwapo watatoa michango pasipo kutazama mbele zaidi kuna uwezekano wa kuliangamiza Taifa.
Hata hivyo mashoga hao walikuwa wanaitaka katiba imabidishe mfumo wa kuwa tetea mashoga hao kwania nao wanahaki ya kufanya kazi hiyo hivyo wameiomba serikali iweke sheria ya kuwa linda na kuwatetea.
WATALAMU WA TIBA ZA JADI NA TAMASHA
moja ya mavazi ya lasta nikama unavyo ona mbele yako ni moja ya motisha katika mabanda ya TGNP
Mtalamu wa tiba za jadi Mary Ombeni akiwa katika maonyesho ya Tamasha la Jinsia katika viwanja vya TGNP Mabibo
WANAHARAKATI WALIA NA UTESWAJI WA WATOTO
Mwanaharakati wa TGNP Liliani Liundi akiratibu mipango ya kutetea watoto pamoja na watu walioko pembezoni hasa wanawake
Wanaharakati wamtandao wa Jinsia Tanzania wameiomba serekari kukabiliana na vitendo vya kuwafanyisha kazi watoto walio chini ya miaka 15 na kuwa tendea vitendo vya kinyama.
Wanaharakati hao wameya sema hayo katika tamasha la 10 linalo endelea jijini Dar – es – salaam lenye lengo la kuwakomboa watu wanao ishi pembezoni hasa wanawake na watoto.wana harakati wameiomba serekari kuwa rudisha haraka watoto wote walioko nchi jirani [ msumbiji] kuwa nusuru na vitendo vya kinyama wanavyo fanyiwa huko.
Mwanaharakati wa TGNP Kutoka wilayani Mbinga ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa halimashauri ya mbinga Prisca Haule ameomba serekari kufanya juhudi za dhati kuwa rudisha mabinti wote wakitanzania wanao fanyishwa kazi za kinyama katika nchi jirani [Msumbiji ] ili waje kuendelea na masomo
Amesema watoto walioko nchi jirani [Msumbiji] wanafanyiwa vitendo vya kiovu pamopa na kuuza mili yao, kuchaguliwa watu ambao ni watu wazima
Washuhuda waliona mabinti waliwili walio pata bahati ya kurudishwa kutoka nchi jirani ya [Msumbiji ] Liliani Liundi Mtayarishaji wa Mipango Kutoka TGNP na Juma Nyumayo Mratibu wa mtandao wa mkoa wa Ruvuma RUNECISO wamesema baada ya serekari kufanya juhudi na kufanikiwa kuwarudisha wamesema vitendo wanavyo tendewa mabinti nivitendo vya kinyama na vina paswa kulaaniwa
Wageni waalikwa kutoka Marekani Ashley Rajaratnam wamesema Tamasha linalo fanyika Tanzania ni njia moja wapo ya kutoa mwanga kuiwezesha jamii kujua haki zao za msingi kwa pande zote mbili pamoja na kujenga misingi bora kwa wanawake na jamii nzima
Thursday, September 15, 2011
TAMASHA LA TGNP LA PAMBAMBA MOTO DSM
Washauri kutoka Marekani ambao wana toa msaada wa elimu ya jinsi ya ufugaji bora wa Ngombe wa Maziwa pamoja na kuwa fundisha jinsi ya kusindika maziwa watu walimiminika katika banda hilo kupata elimu viwanja vya TGNP Mabibo Dar - es -salam
Akinamama kutoka mikoa mbali mbali wakifanya biashara katika viwanja vya TGNP Dar -es -salam
Wednesday, September 14, 2011
Msumbiji wa shiriki Tamasha
Mwakilishi kutoka CARE Intemational in Tanzania
kiMheshimiwa Zito Kabwe akiwa katika Tamasha la Jinsia la 10 linalo fanyika jijini Dar -es -Salaam
Washiri kutoka mikoa mbalimbali wakilsikiliza mada kwa makini katika Tamasha la Mtandao wa Jinsia
Juma Nyumayo akiwa katika Tamasha la Mtandao wa Jinsia ,Tamasha la 10 linalo endelea jijini Dar - es - Salaam