Wanafunzi wa shule ya msingi ya mfaranyaki wakiwa katika mapumuziko wakati wa mtihani wa darasa la saba . jumula ya shule 75 za halimashauri ya mji wa songea wame fanya mtihani bila hata mmoja kukosa.picha upande wa kulia ni wanafunzi wa shule ya Lipalamba mbinga Mkoani Ruvuma wakiota Moto kutokana na Baridi kari .picha na Adamu Nindi
WAHAMIAJI HARAMU 11 KUTOKA BANGLADESHI NA PAKISTANI WAPATA KIPIGO NA NCHI JIRANIRAIA
WATU kumi na moja ambao ni raia wa Pakstani na Bangladesh waliokuwa wakienda Afrika Kusini kwa kutumia Paspoti Bandia wamejuta kuzaliwa walipo ingia nchi jiranmkoa wa Ruvuma akiongea na Glob ya YALIYO JIRI MKOANI RUVUMA amesema wahamiahi hao haramu waliweza kuingia nchi jirani lakini baada ya kuangalia viza zao zilionyesha ni viza za kufoji.
Nchi jirani ili warudisha hadi mpaka wa Tanzania lakini Asikari wa uhamiji Tanzania walikagua viza zao nakugundua kuwa wahakupewa idhini ya kuingia nchi jirani hivyo wali rudishwa tena huko waliko toka.
Kutokana na hilo asikari wa nchi jirani walianza kuwa tesa na kuwapiga vibaya hadi kupata majeraha mwili mzima wakiongea na Asikari wa Uhamiji Mkoa wa Ruvuma walieleza mateso waliyo yapata na kuomba wa Rudi kwao Mkoa chini Afsisa Uhamiaji Koku Lwebadizaiamesma kutokana na mhamiaji mmoja kutoka palisitani kuumwa wahamiaji hao Haramu wata safirishwa baada mwenzao kupona
Afisa uhamiaji Mkoa wa Ruvuma Koku Lwebadiza amesema wananchi wa Magwamila Tarafa ya Lusewa watakiwa kupongezwa kwa uzalendo kwa kuweza kutoa tarifa ya kuweza kuwa pata wahamiaji hao haramu akiwataja wahamiaji hao amesma ni ni wapakistan watano ambao ni Hassan Bilali (20), Fawad Yassin (20), Mohamed Hawadhi(20),Haftari Hussein (24) na Hassad Hawadh (45) na raia toka Bangladesh waliokamatwa ni sita ambao ni Shahed Alzani (29) ,Amar Hamad (25),Garuan Khalifa(40),Mohamed Parvaz(35) ,Shajar Meya (28) na Sao Meya (28) .
Mwisho

No comments:
Post a Comment