
Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akienda jukwaani kuhutubia wananci kujua madhumuni ya mkataba kati ya Lichinga Msumbiji na Songea Tanzani akiwa na mpambe wake Diwani wa Mateka Rehema Milinga [Picha na Adam Nindi]

Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akitia sahihi Mkataba wa Mahusiano ya kibiashara,Elimu,na Uhusiano Mwema kati ya Manspaa ya Songea na Manspaa ya Lichinga aliye katikati ni Meya wa Lichinga Augusto Lius [Picha na Adam Nindi]

Afisa Elimu kutoka Lichinga Msumbiji Paulina Magagula akiwa na wanafunzi kutoka Msumbiji wakiwa Serengeti wakipata Chakula baada ya kutembelea miradi Mbalimbali ya Manspaa ya Songea ikiwemo miradi ya Secondary.[Picha na Adam Nindi]
No comments:
Post a Comment