uri

Tamasha la Mtandao wa Jinsia likionyesha jinsi kumbi mbalimbali zilivyo pamba vizuri maandishi ya kijieleza uzuri wa Tamasha

viongozi mbalimbali kutoka nchi za Afrika wakiwa wame kaa katika jukwaa wakiongozwa na Mkurugenzi wa TGNP

Mh. Diwani kutoka Singida akisikiliza kwa makini mada zinazo tolewa na watalamu mbambali katika uwanja wa TGNP DSM

Jamii ya Wafugaji wakiwa katika tamasha la 10 katika viwanja vya TGNP eneo la Mabibo jijini Dar - es - Salaam
No comments:
Post a Comment