
Wafanyakazi wa SOWASA wakiwa na wageni kutoka Msumbiji wakitembezwa ili kuona jinsi mkoa wa Ruvuma ulivyo piga hatua katika kuhudumia wananchi huduma ya maji aliye vaa shati jekundu ni Meya wa Jiji la Lichinga Nchini Msumbiji Augosto Lius na aliye vaa shati yanjano Mstaiki Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama

Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akiwa na Msitaiki Meya wa Lichinga Nchini Msumbiji Augost Luis akimtembeza kuona miradi ya Maji katika chujio la maji Matogoro

Wanafunzi kutoka Msumbiji walio kuja kujifunza kuhusu elimu katika manspaa ya songea hapo wapo na mwalimu wao aliye simama nyuma ya wanafunzi kushoto

Meya wa manspaa ya Songea aliye vaa shati la njano Chares Mhagama akiwa na Meya wa Manspaa ya Lichincha Nchini Msumbiji Agusto Lius aliye vaa shati Jekundu, Aliye kulia ni Mwandishi wa Radio Free Africa na Star TV ndugu Adamu Nindi
No comments:
Post a Comment