Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Saidi Mwambungu akihutubia mkutano wa Mawakala na watalamu wa kilimo alipongeza juhudi zilizo fanywa na Wakulima kwa kuzalisha mahindi mengi ambayo mpaka sasa mahindi yaliyo nunuliwa ni yenye thamani ya shilingi bilioni 7, Na Mkuu wa Mkoa Mh. Saidi Mwambungu alikiri kuwa serekari inahitaji fedha ya ziada bilioni nane ili kumaliza tatizo, Jee wakulima mvua imeanza na wanahitaji kulima kununua pembejeo fedha wata pata wapi ?
Hali ndiyo hiyo unayo iona Dalili ya kuanza kwa kilimo ni mito iliyo kauka kuanza kujaa maji .kitendawile kipo palepale Wanaruvuma ni wachapa kazi lakini wata kwama kutokana na vitendea kazi kukosa kulipwa kwa mahindi waliyo uza, Hapa wakulima wanangoja juhudi za Serekari tu ili wafanikishe kulima kupeleka Watoto Shule na kuweza kujiwekea akiba ya dharura eg. Afya
No comments:
Post a Comment